Hao ccm wametoka wapi?si mlisema ccm imefutwa kabisa arusha,nyie muulizeni vizuri amemdhulumu nani.
DALLAI LAMA , tusubiri matokeo ya serikali za mitaa kwanza!
CHADEMA ikishinda Arusha nakupa laki moja taslimu!
DALLAI LAMA , tusubiri matokeo ya serikali za mitaa kwanza!
CHADEMA ikishinda Arusha nakupa laki moja taslimu!
CCM.... cheated again
Vichwa vibofu kama ya kwako ni chache sana hapa jukwaani.......mnahesabika wehu kama wewe......
Mbunge wetu wa Arusha ameendeleza vituko baada ya kupiga risasi hewani muda huu hapa jijini Arusha kutoka kilipo kituo cha polisi mpaka alipo pigia risasi ni mita kama Mia tano kisa ni baada ya kukutana na msafara wa ccm hali ya chadema ni mbaya sana Arusha na hizi fujo za lema zinaharibu zaidi
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
Amewazidi wezi wenzake mgao wameamua kuzaa naye
Amewazidi wezi wenzake mgao wameamua kuzaa naye
haa haa vipi wewe ni ccm maslai au ccm imani?Naona mnatafuta huruma za wana arusha, mwaka huu imekula kwenu,nani aliwatuma kumchagua mpuUzi huyo.
Wakuu,
Taarifa za muda huu ni kwamba CCM wamevamia gari la Mh. Mbunge wa Arusha mjini maeneo ya Clock Tower wakati anaelekea nyumbani kwake njiro.
Wakati anapita Mnara wa saa, ghafla wakatokea maccm yakiwa na watu wenye sura ngumu kama banyamulenge, wakaanza kushambulia gari la mbunge huku wakimweleza kwamba wewe ndiye nuksi hapa Arusha, lazima tukukomeshe. Bahati nzuri wakatokea wananchi wazalendo wakaanza kuwashambulia hao banyamulenge wakakimbia zao.
Hivi sasa Mh Lema anaandika maelezo polisi
Lema yule ni jambazi
Hawa nao wamefanyaje ?
Hiyo bastola ichunguzwe kama anaimiliki kihalali
lema si nuksi nuksi ni wez ndan ya chama chenu