Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Khaa! Dr Lema alianza kulost. Kaona ajitekenye kisha acheke
 
Wanaweza kupiga na hata kuua mwili wa Cmndr Lema lakini kamwe hawawezi kuua Ndoto na Itikadi yake! Watahangaika weee lakini hawatashindaaaaaaaa!! Godbless Lema is an Ideology.

Pumbavuuu!!!
 
quote_icon.png
By KING COBRA
Hivi Watu wote Arusha ni Wajinga hadi wamchangue Lema kuwa Mbunge???

Mkuu watu walikuwa na Imani na LEMA ila baada ya kubaini ulaghai, ufisadi, uhuni wake! kila mtu anamuona wa ajabu!
akinamama wa sokoni pale NMC hawataki hata kumuona, na ndio waliokuwa supporters wake wakuu!
 
Hapa ccm ndipo wananitia shaka na amani wanayoihubiri kila kukicha. YAni wameamua kujionesha kuwa ni mashetani pyuuuaaaaa. Ila mradi wanapigana na nguvu ya umma. Na ngvu ya umma ni nguvu ya MUNGU ALIYE HAI. watakaa tu.
 
Mkuu watu walikuwa na Imani na LEMA ila baada ya kubaini ulaghai, ufisadi, uhuni wake! kila mtu anamuona wa ajabu!
akinamama wa sokoni pale NMC hawataki hata kumuona, na ndio waliokuwa supporters wake wakuu!

Wewe unakaa arusha?
 
usingepiga juu badala yake ungevunja mtu mguu www.arusha255.blogspot.com/2014/12/lema-avamiwa-na-uvccm-gari-yake.html
 
angewavunja hata miguu hao wahuni wa ccm
 
Back
Top Bottom