Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Naona mnatafuta huruma za wana arusha, mwaka huu imekula kwenu,nani aliwatuma kumchagua mpuUzi huyo.
 
Mbunge wetu wa Arusha ameendeleza vituko baada ya kupiga risasi hewani muda huu hapa jijini Arusha kutoka kilipo kituo cha polisi mpaka alipo pigia risasi ni mita kama Mia tano kisa ni baada ya kukutana na msafara wa ccm hali ya chadema ni mbaya sana Arusha na hizi fujo za lema zinaharibu zaidi
 
polisi walipokuja ilikuaje wakaachia hawa jamaa na marungu na mipini wakakimbia na wakati walikua bado hawajasambaa na kuna gari mbili ziliwajaza hawa jamaa voxy na vx zilipita mbele yao??
 
Nani amshambulie jambazi mkongwe kiasi hicho! hao ni wezi wenzake amewa stage ili kujipa promo baada ya kugundua wana A.Town wamemstukia na wanataka kumtosa ubunge kwa kuwadanganya mambo mengi na yote kuishia kwenye maandamano yanayokosesha wananchi vipato kwa vurugu na kupora mali.

Wezi ni nyie ccm mnatuibia mabilioni kila kukicha. Yaani hata lepe huna umesahau escrow tayari? Kama Lema angekuwa mwizi ungekuta umeshamfunga kwa kuwa ni mwiba kwenu. Nendeni bungeni mkawasilishe hoja binafsi kuhusu ujambazi wa Lema kama alivyothubutu Kafulila kuwasambaratisha majambazi nyie.
 
Kwani kuna vurugu au amepiga risasi baada ya kukutana na msafara wa Ccm ? Jaribu kuwa muwazi
 
Amejihami baada ya ma Intarahamwe kutaka kuua kama kawaida yao
 
Majambazi magamba mnaogopa cdm. Poleni sana Lema hamumuwezi majizi nyie.
 
Mbunge wetu wa Arusha ameendeleza vituko baada ya kupiga risasi hewani muda huu hapa jijini Arusha kutoka kilipo kituo cha polisi mpaka alipo pigia risasi ni mita kama Mia tano kisa ni baada ya kukutana na msafara wa ccm hali ya chadema ni mbaya sana Arusha na hizi fujo za lema zinaharibu zaidi

Kiuhalisia kwa hiki ulichopost ni lazima na wewe ulikuwepo katika tukio hilo la kumshambulia Lema
 
acha ushabiki usio na tija angejiteteaje alipovamiwa na maccm wakiwa na mipini na marungu angemtoa mtu utumbo kabisa ili tuheshimiane
 
Wakuu,

Taarifa za muda huu ni kwamba CCM wamevamia gari la Mh. Mbunge wa Arusha mjini maeneo ya Clock Tower wakati anaelekea nyumbani kwake njiro.
Wakati anapita Mnara wa saa, ghafla wakatokea maccm yakiwa na watu wenye sura ngumu kama banyamulenge, wakaanza kushambulia gari la mbunge huku wakimweleza kwamba wewe ndiye nuksi hapa Arusha, lazima tukukomeshe. Bahati nzuri wakatokea wananchi wazalendo wakaanza kuwashambulia hao banyamulenge wakakimbia zao.

Hivi sasa Mh Lema anaandika maelezo polisi
Yaani majambazi yanaponyoka bila hata kutoa funzo kwa moja? Kumbe Mara wameamka.
 
Back
Top Bottom