Tulia dawa ikuingie
Karibu chuga dogo uone mambo
Tulia dawa ikuingie
Lema ni rais wa arsh kumbukeni alishinda ubunge akiwa selo so maescrow yanaona yac yo na nafc hata mwakani ndio maana wamejiyahidi sn kuiweka arsh kwenye atesion lkn lema yupo kamili
Lema ni rais wa arsh kumbukeni alishinda ubunge akiwa selo so maescrow yanaona yac yo na nafc hata mwakani ndio maana wamejiyahidi sn kuiweka arsh kwenye atesion lkn lema yupo kamili
Lema mwakani tunamuondoa, ametuharibia sana uchumi wa Arusha
Hao watakuwa ni wahuni wenzake amewadhulumu.
Rais wa wehu kama wewe
Rais wa wehu kama wewe
tehetehe laki si pesa umeua kabisa
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
ukiwadhulimu wenzake katika deal ya unga kipigo ndo malipo, amekiona chamtemakuni.
kwani kuina rais mwehu kama wa cham chako??? Ona aibu basi toka ameingia madarakani nchi imekuwa kama haina kiongoz
Lema mwakani tunamuondoa, ametuharibia sana uchumi wa Arusha
Hii ndiyo taswira ya wana jf wa ccm, huwa wanashangilia hata mambo yanayo husu utu wa mtu, sasa ubinadamu wenu uko wapi? Mmebaki na ushabiki kama mapimbi, ila mshukuru hapa hatuwaoni wala hatujui mkaapo vinginevyo tungewanyonya damu, nyumbu nyie.Amewazidi wezi wenzake mgao wameamua kuzaa naye
Wewe bwabwaja tu lakini ujue ccm inapumulia mashine,mmebaki na sera za kuwaengua wagombea wa ukawa sababu mnajua mwaka huu ni lazima mkae tuu, yaani tunahasira na nyie,akiianani mngejua!Lema mwakani tunamuondoa, ametuharibia sana uchumi wa Arusha
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
LEMA nilikutana naye jana pale SAHEEL BBQ, karibu na ST.THOMAS HOSP. tukasalimiana huku mimi nikiwa namchora tu!
Kiukweli alionekana ni Hopeless fellow!
Amewazidi wezi wenzake mgao wameamua kuzaa naye
LEMA nilikutana naye jana pale SAHEEL BBQ, karibu na ST.THOMAS HOSP. tukasalimiana huku mimi nikiwa namchora tu!
Kiukweli alionekana ni Hopeless fellow!
We mangi ndo umepitwa na wakati kweli kweli! nikutizama kifikra tu nakuona umevaa kaunda suti na raba, unaendesha toyota staut old model, na christmas hii utapandisha milimani na makochi kwe staut yako na baada ya sherehe utarudi nayo mjini.We hujui hata escrow kuwa haimhusu Lema wala Chagadema, nikukumbushe tu.
1.Mtoa hoja Kafulila-alifukuzwa chadema.
2.Mwenyekiti PAC-Mhe.Zitto, alifukuzwa chagadema.
3.CAG aliyefichua uozo-kateuliwa na serikali ya ccm.
4.wajumbe Filikunjombe,Kigwangala,Lugola,Mpina na wengine zaidi ya nusu ni wa ccm!
Sasa kwa wenzio wameshastuka kuitumia escrow kama mtaji wa chagadema bali wewe bado hujitambui! escrow haikuletwa na chadema.na sio ajenda ya kuleta maendeleo kwa wagombea wenu waseme vision yao ya 2015-2020. usimshabikie jambazi LEMA hana ishu zaidi ya maandamano na wizi wa magari.