Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

polisi walipokuja ilikuaje wakaachia hawa jamaa na marungu na mipini wakakimbia na wakati walikua bado hawajasambaa na kuna gari mbili ziliwajaza hawa jamaa voxy na vx zilipita mbele yao??

aliyemuua aliyrkuwa mwenyekiti wa chadema kata ya usa alikimbia mbele ya askali 8 na kati yao wanne walikuwa na smg...hivyo usishangaa hawa kutokukamatwa...
 
CHADOMO Yote ni Failures yaliyoshindwa ama kufukuzwa Kwenye Serikali ama Chama, Sasa Hasira Wamegeuzia kwa SERIKALI Ku Settle Scores Wakilaghai Wananchi Kuwa ETI Wana UCHUNGU kumbe Visasi , Cheap Politics Kupata Cheap Popularity

Affirmative mkuu, hata slaa alikuwa na bado ni ccm alipopigwa chini kule karatu,hasira zake za ukilaza kazileta chagadema.
 
Wakuu,

Taarifa za muda huu ni kwamba CCM wamevamia gari la Mh. Mbunge wa Arusha mjini maeneo ya Clock Tower wakati anaelekea nyumbani kwake njiro.
Wakati anapita Mnara wa saa, ghafla wakatokea maccm yakiwa na watu wenye sura ngumu kama banyamulenge, wakaanza kushambulia gari la mbunge huku wakimweleza kwamba wewe ndiye nuksi hapa Arusha, lazima tukukomeshe. Bahati nzuri wakatokea wananchi wazalendo wakaanza kuwashambulia hao banyamulenge wakakimbia zao.

Hivi sasa Mh Lema anaandika maelezo polisi

LEMA asipoacha Uhuni atakuwa na maisha magumu sana hapa mjini!
 
Nani amshambulie jambazi mkongwe kiasi hicho! hao ni wezi wenzake amewa stage ili kujipa promo baada ya kugundua wana A.Town wamemstukia na wanataka kumtosa ubunge kwa kuwadanganya mambo mengi na yote kuishia kwenye maandamano yanayokosesha wananchi vipato kwa vurugu na kupora mali.

hayo unayoyaandika hapa yanatoka moyoni kweli? au unafurahisha nasfi tu.?
 
Mbunge wetu wa Arusha ameendeleza vituko baada ya kupiga risasi hewani muda huu hapa jijini Arusha kutoka kilipo kituo cha polisi mpaka alipo pigia risasi ni mita kama Mia tano kisa ni baada ya kukutana na msafara wa ccm hali ya chadema ni mbaya sana Arusha na hizi fujo za lema zinaharibu zaidi

Tatizo hamueleweki. .kwa iyo lema kakutana na msafara wa ccm tu afu kaanza kupiga risas hewan. .kama ni kweli inabid akapimwe akili ila kama unapotosha sjui utakuwa binadam wa aina gan. .kwann upotoshe ukweli inakusaidia nn lkn. .don't represent truth but be truth.
 
hizi dalili tosha za kuanguka.kwa ccm Arusha Lema amefanya kazi nzuri sana FUTA DELETE CCM ARUSHA nzima tumefanikiwa hawa waliompiga watakiona cha mtema kuni kesho
 
Bastola zinatolewa ovyo sana Arusha.

Vijana wengi wasio na maadili nao wanamiliki bastola.

Sio lazima ukivamiwa utumie risasi kujihami.

Nakumbuka mwaka 2004, niliwahi kuvamiwa na majambazi nyumbani kwangu, nilikuwa na bastola lakini sikurusha risasi hata moja! Nilitumia mbinu tu kuwaonyesha kuwa nina silaha pia, na wote wakatoweka ghafla! Mbinu nilizojifunza jeshini zilisaidia sana!

Sasa huu uzao wa akina LEMA! akigombana na Girlfriend wake anatoa bastola!

Namiliki Bastola mwaka wa 18 huu lakini wanaojua umiliki huu hawafiki hata watano!

.....wee mburumundu kweli wenye moto hukaa kimyaa huna hata manati !!!
 
Affirmative mkuu, hata slaa alikuwa na bado ni ccm alipopigwa chini kule karatu,hasira zake za ukilaza kazileta chagadema.

leta ushahidi acha porojo za kitoto CHADEMA ni chama chenye matunda mema kurushiwa mawe ni kawaida
 
LEMA nilikutana naye jana pale SAHEEL BBQ, karibu na ST.THOMAS HOSP. tukasalimiana huku mimi nikiwa namchora tu!

Kiukweli alionekana ni Hopeless fellow!
Inakuwaje mtu hopeless awashinde CCM Ubunge???
Inamaana CCM ni hospeless zaid???
 
Ni wale ambao lema huwatumia kumwagia tindikali atakuwa hajawapa hela zao.
 
We mangi ndo umepitwa na wakati kweli kweli! nikutizama kifikra tu nakuona umevaa kaunda suti na raba, unaendesha toyota staut old model, na christmas hii utapandisha milimani na makochi kwe staut yako na baada ya sherehe utarudi nayo mjini.We hujui hata escrow kuwa haimhusu Lema wala Chagadema, nikukumbushe tu.
1.Mtoa hoja Kafulila-alifukuzwa chadema.
2.Mwenyekiti PAC-Mhe.Zitto, alifukuzwa chagadema.
3.CAG aliyefichua uozo-kateuliwa na serikali ya ccm.
4.wajumbe Filikunjombe,Kigwangala,Lugola,Mpina na wengine zaidi ya nusu ni wa ccm!
Sasa kwa wenzio wameshastuka kuitumia escrow kama mtaji wa chagadema bali wewe bado hujitambui! escrow haikuletwa na chadema.na sio ajenda ya kuleta maendeleo kwa wagombea wenu waseme vision yao ya 2015-2020. usimshabikie jambazi LEMA hana ishu zaidi ya maandamano na wizi wa magari.



Inakuwaje LEMA ni mwizi wa Magari harafu Polisi katika serikali iliyopo madarakani wanashindwa kumukamata???
Inamaana serikali ni Lege Lege????
 
Back
Top Bottom