Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Unamwona anko Magu hamnazo au?
Sina maana hyo ila nmejarbuu rejea kwa waziri wetu wa katiba[emoji848] bado nkakumbuka mbali jinsi mwinyi alivyo jiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani na zengwe lake mpaka kuwa raisi asee siasa acha iwe siasa
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Jinsi boss wao,anavyopenda sifa,huyo atateuliwa tu baada ya uchaguzi,
 
Hakika
Watu sasa wanamtazama kwa
Watu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu
[/QUOTE

Sahihi kabisa lazima tujifunze kuwaweka watu katika mizani sawa maana wote ni muhimu kwa nyakati zao
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437


Awe mpole Cheo ni sawa na Koti ya Kuazima kamwe hawezi kusitiri!
 
Ukisema hivi hakuna anayeona, wanapenda zile comments zao za kike kike
 
Mkuu kutumbuliwa kuna umiza hasa kama ulikuwa unakitumia kile cheo kama fimbo kwa walio kuzunguka
 
Sahihi kama pole pole ni mfano halisi na Mwampamba
 
Kikubwa ni Gambo kupigwa kalamu
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Alikuwa anajifanya usalama sijui basi abaki na hiyo kazi
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Somo zuri kwa vijana wanaojiona miungu watu wakipata vimadaraka........
 
Mara ya mwisho nimemwona Mulongo Mwanza, huwezi kuamini aliwahi kuwa hata DC, achilia mbali RC.

Suruali aliyokuwa amevaa ilikuwa kama mfuko uliofungwa kiunoni. Suruali alizokuwa anavaa zamani, inaonekana kwa sasa ni much oversize lakini anailazimisha kwa kutumia mkanda.

Sidhani kama anaishi Bagamoyo. Nilipoonana naye Mwanza, alikuwa ametoka Bunda. Alisema ndiko anakoishi. Hata usafiri anaoutumia ni wa umma.

Unaweza ukacheka na kutojali ukisoma humu JF lakini ukimwona utapatwa na moyo wa huruma. Kwa nafasi aliyokuwa nayo, hakustahili kuwa hivyo. Hata nyumba hana. Aliyokuwa ameanza kujenga, hakumalizia. Na anayo madeni asiyoweza kuyalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nimesikitika sana kwa kweli kwa nafasi aliyokuwa nayo jamani! Kweli ukitenda mema hapa duniani na mema yatakujia, viongozi wana la kujifunza kutoka kwa wenzao.
 
Mkuu wapo wengi sana hao hasa walio pewa hizo nafasi kama fadhila
 
Mtu anayejifunza kutoka kwa mwenzake huyo ni busara inamtawala lkn kama mtu hana busara basi hawezi kujifunza kitu
 
Back
Top Bottom