Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Tatizo la hawa vijana wakisha pewa madaraka wanajisahau sana
Kwa hiyo leo amesaini kwenye vistors book ya iliyokuwa ofisi yake?.Hii iendelee kutukumbusha kwamba cheo ni deni wala hata siyo dhamana tena
 
CV za kutumbuliwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamaa kaongeza CV yake au sio, kuwa mkuu wa mkoa sio jambo dogo mkuu,

Na hata hivyo kila jambo lina mwisho wake, ipo siku hata mwenyekiti wako itabakia historia kuwa aliwahi kuwa mwenyekiti.
 
Kama wewe ni kapuku basi endelea na ukapuku wako, hili siyo jukwaa la kushindana kimaisha.

Hapa tunaongelea kuhusu kutumbuliwa kwa Gambo. Hayo mambo ya taarabu zako peleka huko huko kwenu TOT
Makapuku mnafikiri wanaotumbuliwa wanakwenda kuishi kama nyinyi

Bado sioni cha kunifurahisha hapo

Kesho akiwa waziri sijui mtasemaje

Ujuaji mwingi
 
Mimi narudia siyo kapuku, elewa hivyo na nafurahi kuondolewa kwa huyo Gambo hapa jijini kwetu maana alizidi kututenga na kututesa.

Umezungumza namna atakavyoishi maisha magumu na kwamba kama alikuwa anakopa kwa U-Rc sasa atadaiwa kindava mtaani

Hawezi kuwa na maisha magumu hivyo, hana njaa hiyo elewa tu jambo moja hiyo ni siasa hatujui yajayo

Namimi narudia kukwambia kuwa mimi siyo masikini elewa hivyo.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437

Sasa asubiri makombora yatakayotumwa kwake kama ailfanya madudu, maana hao polisi na takukuru waliokuwa chini yake ndo wataanza kumfuatilia.
 
Una tatizo mahali na huyo Gambo wewe mbona hilo la ukapuku umelikomalia licha ya kuachana nalo?

Bure kabisa
 
Baada ya kutumbuliwa wale washikaji zake wa karibu waliondolewa pale
Sasa asubiri makombora yatakayotumwa kwake kama ailfanya madudu, maana hao polisi na takukuru waliokuwa chini yake ndo wataanza kumfuatilia.
 
Lazima uelewe hivyo na nimuhimu kuelewa hivyo
Una tatizo mahali na huyo Gambo wewe mbona hilo la ukapuku umelikomalia licha ya kuachana nalo?

Bure kabisa
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Ufipa mna kazi, ajenda hamna mnasubiri mpaka CCM tufanye matukio ndiyo mnaanza kuropoka na kuleta unafiki.
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Mrisho Gambo!!!!!.... ( 800 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom