Kwahiyo aliye kuja ndiye atawatendea vyema? Nyie wakutendwa tuu lazeni shingo kibra.Kikubwa kwetu wana Arusha ametolewa kwenye ofisi ambayo alikuwa anaitumia kututendea ndivyosivyo
Alikuwa kijiweni kama Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine nchi nzimà waliolundikwa kwenye ofisi za Serikali na Awamu hii kwa ujana wao siyo kwa ujuzi na uzoefu. Hao ndo wanafanya kazi ya Magufuli siyo ya Serikali ya kusaidia kutatua matatizo ya wananchi. Wacha waende wakafie mbali.Kwani alikuwa anafanya wapi kazi kabla ya uteuzi....tafadhali
Waropokaji hawatumbuliwi maana wanaeleweka na anayewateua. Kama wangekuwa wanatumbuliwa tusingekuwa tunashangaa kuona yule wa Mbeya, Dar, Iringa, Manyara na wengine wengi tu kuwa bado wako madarakani. Wakuu wa Wilaya ndo usiseme.🤣 🤣 sio yule mropokaji wa Mbeya?
Alikuwa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela kama mtaalamu wa ICTCheo dhamana
Maisha hayana formula mzee
Ova
TrueUyu MPUUZI aliboa Sana aisee
KIONGOZI ASIYEPENDA KUPINGWA NI JUHANdio umefurahi?
Waropokaji hawatumbuliwi maana wanaeleweka na anayewateua. Kama wangekuwa wanatumbuliwa tusingekuwa tunashangaa kuona yule wa Mbeya, Dar, Iringa, Manyara na wengine wengi tu kuwa bado wako madarakani. Wakuu wa Wilaya ndo usiseme.
Kweli mkuu. Mwenye macho haambiwi tizama. Ni fundisho kubwa sana kwa wale watakaoelewa. Hebu fikiria alikuwa akipita na msafara mithili ya Waziri Mkuu. Duu hivi sasa hata boda boda hamna?? Kweli inauma sana ila ndiyo maisha.Watu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu