Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Noma sana. Wanamkandia kinoma.Daaa aisee nilikuwa sijaipata hiyo, kumbe wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? [emoji23][emoji23]
Noma sana. Wanamkandia kinoma.Daaa aisee nilikuwa sijaipata hiyo, kumbe wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? [emoji23][emoji23]
[emoji16]nawashangaa,naona wanajitoa akili!Unamwona anko Magu hamnazo au?
Hongera sana mkuu kwa matusi yako maana ungeniita kuwa ni mjinga ningefurahi maana ningejielimisha lkn kwa kuniita mpumbavu nimeumia sana.
Anyway hiyo ni haki yako sikulaumu mkuu pamoja sana.
Kumbe unaumia?vivyo hivyo akija hapa huyo sijui ndo Gambo akaona ulichofurahia hapa kuhusu yeye,anaweza akakutukana matusi yote..maana mi hapa sijakutukana,yamkini matusi huyajui lakini kama una utashi na mcha MUNGU acha mambo ya watu,huku jf unaposema leta mada zitakazo ponya roho na uchumi wa waTanzania wenzako na utabarikiwa kuliko kua MPUMBAVU.
Alidhoofisha kwa dhuluma na kunyanyasa watu wenye itikadi zingine, hana wema hata kidogo alifanya ili apate kusifiwa. Bado wenzake na mwenye mamlaka mkuu haki humuinua mtu ubaguzi humfanya mtu atukanwe na kuchukiwa. Bado wenzake bado bado wapo MUNGU hadhihakiwiWatu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu
Alidhoofisha kwa dhuluma na kunyanyasa watu wenye itikadi zingine, hana wema hata kidogo alifanya ili apate kusifiwa. Bado wenzake na mwenye mamlaka mkuu haki humuinua mtu ubaguzi humfanya mtu atukanwe na kuchukiwa. Bado wenzake bado bado wapo MUNGU hadhihakiwi
Lkn kwa sasa apate adabu na yumkini MUNGU asimpe nafasi hiyo kwa sababu nayo hataipata kwa haki.Muda huwa unaongea vzr sna tz tunaishi kisiasa sna c ajabu baada ya october akawa mbunge na november akawa ni waziri atakaye mpa chai ya maziwa ni yule yule aliye mmwagia chai ya rangi
Nilicho jiuliza huyo Gambo alikuchukulia mke/mume? Maana kama wewe ni mtu mzima unayejua maisha ni nini usingesema haya maneno na furaha ya kiswahili,labda kama wewe ni mtoto mdogo ktk kutafuta maisha na siyo mwanaume yamkini, isipokua ni kama nimekugundua we ni wa namna gani.Sawa mkuu lkn naamini kuwa bado hilo halita nifunga mdomo kusema nilicho kiona kinatokea.
Ukweli hauwezi kufichika kuwa Gambo katumbuliwa na sasa siyo tena mkuu wa mkoa wa Arusha, period!
Labda kama una lingine
Pole sana naona una uchungu sana na kutumbuliwa kwa Gambo, labda nikukumbushe tu kuwa Arusha ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.Nilicho jiuliza huyo Gambo alikuchukulia mke/mume? Maana kama wewe ni mtu mzima unayejua maisha ni nini usingesema haya maneno na furaha ya kiswahili,labda kama wewe ni mtoto mdogo ktk kutafuta maisha na siyo mwanaume yamkini, isipokua ni kama nimekugundua we ni wa namna gani.
Nisamehe bwana nilikua sijakujua vyema..it's okay na jioni njema
Si alishafarikiArusha huwa inawatia nuksi sana ma-RC wababe na wenye nyodo kama Gambo. Namkumbuka RC Mulongo enzi za Kikwete, aliyehudumu kwa nyodo na tambo nyingi sana pale Mwanza na baadaye akapelekwa Arusha. Sasa hivi yupo Bagamoyo amefulia mpk anagongea kahawa na kashata
Unafaidika nini na kukonda kwake?Kama hata Wiki tu haijakatika vizuri ameshaanza Kukonda hivi vipi ukipita Mwezi kabisa si anaweza kuwa amekondeana kama Fido Dido kabisa?