kama mnamuombea kazi nyingine vile.Wacha aanze kupambana na changamoto za kutopigiwa magoti na alio kuwa anawapelekesha wakati yupo ikulu ndogo.
AtakomaWatu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu
Duu!!! Kweli cheo ni dhamana.Arusha huwa inawatia nuksi sana ma-RC wababe na wenye nyodo kama Gambo. Namkumbuka RC Mulongo enzi za Kikwete, aliyehudumu kwa nyodo na tambo nyingi sana pale Mwanza na baadaye akapelekwa Arusha. Sasa hivi yupo Bagamoyo amefulia mpk anagongea kahawa na kashata
Unafaidika nini na kukonda kwake?
Sihusiani na Ufipa,, wewe ni mchawi tu. [emoji3][emoji3]Ufipa wote ni wachawi