Gambia's public sector to have 4-day working week!

Gambia's public sector to have 4-day working week!

Hata uarabuni ambako ndiko chimbuko la uislamu wanafanya kazi siku tano na kupumzika jumamosi na jumapili. Sasa utajiuliza nyie wagambia mnautoa wapi huo wa kwenu, ka-nchi kenyewe maskini vile.

Hili ndilo tatizo la nchi kutawaliwa na 'Psychopath' Rais huyu anafahamika kwa vitendo vyake vinavyomfanya mtu kutilia shaka akili zake. Yeye ni mtabiri, mganga wa jadi, kiongozi wa dini na Dikteta ~ yote kwa pamoja! Ajabu zaidi ni kwamba hayuko wa kumnyooshea kidole.! Ama kweli duniani kuna mambo.
 
Hata uarabuni ambako ndiko chimbuko la uislamu wanafanya kazi siku tano na kupumzika jumamosi na jumapili. Sasa utajiuliza nyie wagambia mnautoa wapi huo wa kwenu, ka-nchi kenyewe maskini vile.


Mkuu acha upotoshaji!Uarabuni nchi nyingi siku ya Ijumaa ni siku ya mapumziko. Tena hata Sudan tu hapa hapa Afrika ijumaa kwao wanakula bata tu nyumbani.
 
Jumapili itaendelea kubaki jumapili tu. Hiyo Ijumaa watu ndo kwanza wako bize kutafuta hela za wikiend fuleni itaendelea kuwepo kama kawa.
Mnategemea Jumaa mtaa wa kongo pawe peupe! thubutu.
 
Mkuu acha upotoshaji!Uarabuni nchi nyingi siku ya Ijumaa ni siku ya mapumziko. Tena hata Sudan tu hapa hapa Afrika ijumaa kwao wanakula bata tu nyumbani.
Mkubwa, Nilitegeme uwe mwenye shukrani kwa mafundisho mazuri ya Allah aliyomfunulia Mtume wake Muhammad s.a.w kwamba; "Swalini mkisha swali tawanyikeni kwenye ardhi mkafanye KAZI!" leo unaona hayana maana unataka mapumziko! Hizo ni dalili za kwenda jehannam, mkubwa! Maana kabla hujafa na njaa utaanza kufru kwa nini Allah kakuacha ufe na njaa wakati ameshakuelekeza nini cha kufanya ili usife na njaa! Nawe umeyakiuka maagizo yake! Kweli utanusurika?
 
Nchi hiyo imewatendea haki wazee wa kanzu na makobasi

ni moja ya nchi maskini zaidi duniani. Sasa sijui kama shuleni huwa tunawaambia wale wenye unafuu darasani wapange ratiba zao kama za vilaza wa kutupwa kabisa. Unajua ukiwa mlevi wa huu ukoloni wa wazungu na waarabu unakuwa na matatizo mengi sana. Pamoja na kuwekewa vikwazo vya kila aina quba wanaendelea kuwa juu yetu sababu ya kuwa na spirit ya kufanya kazi na uzalendo. Tunafikiria uzinzi na ulevi tu! Ukifuatilia washabiki wa dini wengi hata misikitini hata makanisani hawaendi lakini ndo waleta mtafaruku. Kwa wenzetu vijana wanafanya kazi hata muda wa kufikiria huu upuuzi wa kuchonganisha imani haupo.
 
Mkubwa, Nilitegeme uwe mwenye shukrani kwa mafundisho mazuri ya Allah aliyomfunulia Mtume wake Muhammad s.a.w kwamba; "Swalini mkisha swali tawanyikeni kwenye ardhi mkafanye KAZI!" leo unaona hayana maana unataka mapumziko! Hizo ni dalili za kwenda jehannam, mkubwa! Maana kabla hujafa na njaa utaanza kufru kwa nini Allah kakuacha ufe na njaa wakati ameshakuelekeza nini cha kufanya ili usife na njaa! Nawe umeyakiuka maagizo yake! Kweli utanusurika?


Mkuu mbona kama hujielewi unaandika kitu gani?Nani kasema anataka kupumzika ijumaa?Mimi nimesema kuwa nchi nyingi za kiarabu na za kiislamu ijumaa kwao wanapumzika, je hiyo inamaana kuwa nimesema nataka kupumzika? Halafu japokuwa ijumaa siyo siku ya mapumziko lakini kiuhalisia wafanyakazi wa serikali wengi wetu ijumaa tunakwenda kusign tu daftari la mahudhurio then tunatambaa kwenye mishe zetu kila mtu anajivika uislamu kuwa anakwenda msikitini.
 
Au hayo mapumziko ndio itakuwa ya kufanya maandamano,huyo raisi wa Gambia si ndie mganga wa jadi eti anatibu ukimwi,ndio matatizo ya vibarakashia,hukandamiza ubongo kiasi cha kushindwa kufikiri

ina maana Pop Benedict kile kikofia kinakandamiza ubongo!
 
dah, hivi ijumaa ikiwa mapumziko tena si tutakufa njaa?? maana mimi natamani kazi hata usiku na mchana siku 7 katika wiki ili nipate rizki wenzetu wanaendelea kulilia mapumziko!!
kaaazi kwelikweli
 
sijui mnabishania nini hapa
ijumaa haiwezi kuwa siku ya mapunziko
Hata Allah wanemwabudu alifanya kazi kwa siku 6 ya 7 akapunzika
wakristo waliamua kupunzika j2 ndio siku ya ufufuko wa mwokozi wao
jms wanapunzika wasabato kama siku yao ya 7 kaidiri ya mafundisho yao
waislamu walichgaua ijumaa, na kwa vile nchi yetu haina dini ijumaa mnaruhusiwa kusali kuanzia saa 6 mchana
then mnapunzika.
kama mnaona hamwezi basi hamisheni iwe jumamosi.
fanyeni kazi acheni uvivu nyie ndio mnaolalamika kuwa nyuma kila kitu huku hamtaki kujishughulisha
mnangangania kupunzika.
 
ahh wapi hata kwa nchi tajiri hawafanyi hivo
bila kazi uchumi utakuwa?
kama kuabudu mchana watu wanaruhusiwa maofisini
lakini sio kusema ijumaa yote iwe mapunziko.jms na j2 ni wekends

likissa umeelewa lakin alichokiongea mdau au umebwatuka tu???? umeambiwa wamekaa wakafanya mahesabu yao wakaongeza masaa ya kaz ambayo inafidia cku yote ya ijumaa xax ww unaanza kuropoka eti ooh ata nchi tajiri awafanyi ivo...ndo mana mdau akasema kwnz wabongo watu wa " wakenya ooih mara wazungungu ooh ww mara nchi tajiri" embu penda kushirikisha kichwa chako kabla ujafanya kitu chochote
 
... Kuna Wakristu wanafanyakazi mpaka siku za jumapili' hawa lalamiki!
Mpaka siku hizi hata Wasabato wanafanyakazi J'mosi. Inakuwaje awa ndugu zetu wameshikie bango' vitu vidogo vidogo visivyo kuwa na tija kwa taifa. "kweli kukosa Elimu ni kitu kibaya"

Mkuu,kwa uzoefu wangu kidogo niliotembelea nchi nyingine, watu wanafanya kazi sana siyo mchezo, halafu bila aibu tunawaomba msaada.Uvivu na kutokujituma ni mojawapo wa vyanzo kwa nchi zetu kuwa ombaomba na umaskini.
 
Kwani Waislamu wanataka siku ya ijumaa kuwa ya mapumziko kwakuwa dini yao inawataka kupumzika siku hiyo takatifu kwao au kwa sababu Wakristo wao siku zao za ibada ni za mapumziko?Jinsi ilivyo,Wakristo wameagizwa kupumzika ktk siku zao za ibada ndio maana lazima wapate mapumziko, kwa Waislamu Kuruani inawataka waende kuswali unapofika muda wa ibada, yaani kitabu chao kimewaruhusu watafute ridhiki kama kawaida siku ya ijumaa na kwenda ibadani unapotimu muda.Tunawaona waarabu ambao wengi wao ni Waislamu katika miji mikubwa hapa Tanzania kama Mwanza,Dar-es-salaam na Arusha jinsi wanovyoendelea na shughuli zao za kibiashara alafu baadae wanaenda kwenye ibada. Kufanya siku ya ijumaa kuwa ya mapumziko ni kuendekeza uvivu na kamwe Afrika yetu haitajitoa kwenye hili dimbwi la umaskini kwa mtindo huu.

mkuu unamkumbuka yule rais sikukuu ikiangukia jumamosi au jumapili basi jumatatu ni hakuna kazi,hivi alukuwa nani vile?
 
sikubaliani na nyie wote hapa ni kazi mwazo mwisho huo ni uvivu tena hii maada iondoeni haraka katika huu mtandao
 
waislamu tunaonewa...ijumaa iwe siku ya mapumziko kama jumapili......katiba mpya

kama vipi, jumapili wakristu wasiende waislam waende na ijumaa wakristu waende waislam wasiende, kwisha
 
Back
Top Bottom