Gambia's public sector to have 4-day working week!

Gambia's public sector to have 4-day working week!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,399
Reaction score
17,676
Leo nimesikia kwamba Serikali ya Gambia imeamua kupunguza siku za kufanya kazi kuwa 4 kwa wiki, hiyo ni amri ya Raisi wa nchi hiyo ambayo ni maskini kuliko karibu zote Afrika, na watu wanashangilia kupumzika nyumbani, inanikumbusha CHADEMA au wanachama wa CHADEMA wanavyopanga kusheherekea siku 3 mfululizo siku wakishinda Uchaguzi, maanake siku 3 za mapumziko bila kufanya kazi!

Kweli wazo zima la uchumi bado halijaeleweka kwetu sisi Waafrika, nafikiri hata hatujui ni nini maana ya uzalishaji!

Gambia's public sector to have 4-day working week

2013-01-20T114822Z_1_CBRE90J0WSQ00_RTROPTP_2_AFRICA-SECURITY.JPG

Gambian President Yahya Jammeh has decreed a four-day working week for public officials, making Friday a day of rest to allow residents in the small West African state more time for prayer and agriculture.

Jammeh said in statement the decision was made in light of demand from the general public. The shorter working week will take effect from February 1.

The new public sector working times in Gambia, a sliver of land stretching inland from the West African coast along the river Gambia, will be Mondays to Thursdays from 8 a.m. to 6 p.m.

"This new arrangement will allow Gambians to devote more time to prayers, social activities and agriculture - going back to the land to grow what we eat and eat what we grow for a healthy and wealthy nation," the presidential statement said.

Though it has a secular state, Gambia's population is overwhelmingly Muslim. Jammeh seized power in the popular European tourist destination in a bloodless military coup in 1994.

He has since been accused by activists of human rights abuses during his rule. In August, his government drew international condemnation for executing nine death-row inmates by firing squad, prompting it to suspend 38 other planned executions.

The government warned, however, that the executions would go ahead if the crime rate increases.

One of Africa's more controversial rulers, Jammeh said in 2007 he had found a remedy of boiled herbs to cure AIDS, stirring anger among Western medical experts who claimed he was giving false hope to the sick.

(Reporting By Pap Saine; Writing by Daniel Flynn; Editing by Hans-Juergen Peters)

Some info on Gambia:

Opening hours of shops, banks etc are not the same everywhere. Particularly supermarket opening times are strongly dependent on the fact whether they belong to a company chain, and if they do it matters to what chain.

Banks: Mon-Thu and Sat 08.00-13.00, Fri 08.00-11.00, some banks like Standard also from 16.00-18.30h.

Post Office: Mon-Fri 08.30-12.15 and 14.00-16.30, Sat 08.30-12.10h.

Telephone (Gamtel): daily from 08.00-22.00h.

Shops: Mon-Fri 08.30-12.30 and 15.00-18.30, Sat 08.30-13.30, in tourist area's from 08.00-20.00, mini-markets sometimes 24 hours a day.

The details above is nothing more than an indication of business hours.
 
Hivi Chama kilichoamua kuifanya Jumamosi ni siku ya Mapumziko ni Chama gani vileeee???
 
Hivi Chama kilichoamua kuifanya Jumamosi ni siku ya Mapumziko ni Chama gani vileeee???

Sijui mimi ni Chama gani, ila ninachojua ni kwamba iliamuliwa na Watanzania kupanga siku za kupumzika, kwa maana hatuelewi ABC za Uchumi ndio maana kila mtu analilia kupumzika!
 
Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....

Cc:kwa mtoa mada.
 
Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....

Cc:kwa mtoa mada.
Na hapo ndipo tatizo lilipo, sehemu kubwa ya Watanzania wako kama wewe pia hawaoni tatizo katika huo uamuzi wa huyo Raisi wa Gambia!
 
Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....

Cc:kwa mtoa mada.

Hili wazo kwa nchi masikini sijui sana kama lina tija kwani kwa umasikini tulokuwa nao unahitaji kufanya kazi kwa bidii sana. Majuzi nimesikia kuna kundi moja limedai hata sisi tuwe na siku ya ijumaa ya mapumziko, sijaelewa kama twaweza kujenga uchumi ulio bora sana katika ulimwengu wa leo.

Kikubwa kilichopo na ninachokiona kwa walio wengi wetu wanaendekeza swala zima la starehe zaidi kuliko kuwaza jinsi ya kutoka. Uchumi unahitaji kujituma sana na si vinginevyo.
 
Una hoja nzuri sana lakini umeiharibu wewe mwenyewe kwa kitendo cha kuhusisha chama fulani katika uzi wako hakina mashiko kabisa
 
Una hoja nzuri sana lakini umeiharibu wewe mwenyewe kwa kitendo cha kuhusisha chama fulani katika uzi wako hakina mashiko kabisa

Kila kitu nilichoandika ni kutokana na yale niliyoyaona na kuyasikia hamna hata moja nililolitunga! Hivyo kama nimegusa hisia zako kwa kuwa labda wewe ni mwanachama au mpenzi wa chama chochote nilichokitaja basi pole, lakini ndio ukweli wenyewe
 
Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....

Cc:kwa mtoa mada.

Nakubaliana na wewe mkuu, hakuna uhusiano wa Gambia na mfananisho wa chama tajwa! Mada/taarifa nzuri kuchanganywa na mtazamo/hisia binafsi!
 
Kila kitu nilichoandika ni kutokana na yale niliyoyaona na kuyasikia hamna hata moja nililolitunga! Hivyo kama nimegusa hisia zako kwa kuwa labda wewe ni mwanachama au mpenzi wa chama chochote nilichokitaja basi pole, lakini ndio ukweli wenyewe
Ha ha ha ha ww ni mjeuri,cjawahi kuona!
 
Waisilam wa tz wanashinikiza eti Ijumaa iwe pia mapumziko, kama Jumapili, eti mfumo kristo.
 
Mitanzania itaanza kuandamana kuomba ipumzike ijumaa.
 
lakini kama ni 8 am to 6 pm for 4 days naona hakuna tofauti na masaa wanayofanya wabongo ingawaje ni siku tano kwa bongo...makampuni mengi tuu states yana flexibility kama hiyo wanachotaka ni 40 hrs kwa week
 
Oh yeah...I love that flex time and I use it too.
 
Leo nimesikia kwamba Serikali ya Gambia imeamua kupunguza siku za kufanya kazi kuwa 4 kwa wiki, hiyo ni amri ya Raisi wa nchi hiyo ambayo ni maskini kuliko karibu zote Afrika, na watu wanashangilia kupumzika nyumbani, inanikumbusha CHADEMA au wanachama wa CHADEMA wanavyopanga kusheherekea siku 3 mfululizo siku wakishinda Uchaguzi, maanake siku 3 za mapumziko bila kufanya kazi!

Kweli wazo zima la uchumi bado halijaeleweka kwetu sisi Waafrika, nafikiri hata hatujui ni nini maana ya uzalishaji!

Nazidi kuamini kwamba kuunganisha matukio ni kipaji/utaalamu/uwezo wa kufikiri kwa kina. Yaani mtoa mada umefeli kabisa kuunganisha hili tukio na CHADEMA.
 
nchi za ulaya na marekani watu wanafanya kazi siku zote za wiki,china wanapumzika kwa mwaka mara moja tena chinese new year,nchi maskini tunapumzika sana,kweli tunastahili kuwa maskini,tunajilaani wenyewe
 
Yes naona kuna logic. Kwa kufanya kazi kwa siku 4 kwa wiki tangu saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni Nisawa na tunaofanya siku 5 kwa wiki tangu saa 2 hadi saa 9.30. Masaa ni yaleyale. Nothing strange
 
Back
Top Bottom