Nikawaida ya WaTanzania kusubiri waone wengine wamefanya kitu ndipo wao waanze Kushangaa shangaa, utasikia maneno kama;
Wenzetu bwanaa!! WaKenya bwana !!! WaZungu bwana!!!! Sasa WaGambia bwana!!
Kuanzia tarehe 01/Feb/13 Serikali ya Gambia Imeamua siku ya Ijumaa kuwa ya mapumziko kuwapa waislam nafasi ya kujiandaa na kuabudu kama walivyopewa wakiristo siku za Jumamosi na Jumapili
Wa-Gambia watafanya kazi siku nne kwa wiki, kuanzia JT
atu hadi Alhamisi, saa za kazi zitaanza sa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni, ambapo mfanya kazi atakuwa amefanya masaa 40 kwa wiki sawa na kufanya kazi (Jtatu-Ijumaa) siku tano zakaida
Raisi wa Gambia na wataalamu wa uchumi wamesema:Kitendo cha kufanya kazi siku nne kwa wiki, kitawafanya WaGambia kupata nafasi zaidi ya shughuli zao za kilimo ambazo ni tegemeo kubwa kwa nchi na pia kutawapa nguvu mpya ya utendaji kutokana na mapumziko marefu
Je Uongozi wa Tanzania unauwezo wa kufanya Maamuzi magumu ?
Source: BBC News - Yahya Jammeh gives Gambians an extra day off
saud arabia wanapumzika alhamis na ijumaa.Hata uarabuni ambako ndiko chimbuko la uislamu wanafanya kazi siku tano na kupumzika jumamosi na jumapili. Sasa utajiuliza nyie wagambia mnautoa wapi huo wa kwenu, ka-nchi kenyewe maskini vile.
kwahiyo na kwenyewe wanafanya kazi siku nne tu katika juma? Au kwao jumamosi na jumapili ni siku za kazi?
mapumziko yao ni ijumaa na jumamosi, wanafanya kazi 5 days a week
saud arabia wanapumzika alhamis na ijumaa.
Hata uarabuni ambako ndiko chimbuko la uislamu wanafanya kazi siku tano na kupumzika jumamosi na jumapili. Sasa utajiuliza nyie wagambia mnautoa wapi huo wa kwenu, ka-nchi kenyewe maskini vile.
Mkuu uarabuni Ijumaa ni mapumziko.
kwahiyo na kwenyewe wanafanya kazi siku nne tu katika juma? Au kwao jumamosi na jumapili ni siku za kazi?
source ya huu uzi inasema hivi,Ndo manake, ijumaa ni siku ya mapunziko kwao, jmosi na j2 kazini kama kawa. Wao weekend ni ijumaa na ndivyo ilivyo asa
Ni bora kufanya kazi ipasavyo masaa 40 ndani ya siku nne, kuliko kufanya kazi kwa kuzuga kwa siku tano au saba.
Sasa hivi bosi anaingia offisini anavalisha koti kiti chake anakwenda bar kunywa supu akirudi anakaa kidogo anakwenda kula lunch anarudi ofisini sasa ya kufunga ofisi anachukua koti lake anaondoka, huu ni mfano mmoja tu najua mmeona mengi zaidi ya haya.
Mkuu hiyo disruption in adaptation zakesource ya huu uzi inasema hivi,
"Thursdays and Fridays or Fridays and Saturdays are non-working days in most of the Muslim world but some say this disrupts work with Western countries, who have Saturdays and Sundays off" .
Huo ni ujinga na wala siyo maamzi magumu. Wakati tunataka kumuomba mungu aongeze siku za wiki nyie mnataka kuzipunguza? Shame upon u, na haya mawazo kuyaingiza vichwani mwa watz.
Waislam ijumaaa inatutaka kusali,na baadae tukatafute ridhiki sasa tutapataje ridhiki wakati ofisi zimefungwa? Jiulizeni mara nyingi kabla ya kuja na hoja humu ndani.
Hata uarabuni ambako ndiko chimbuko la uislamu wanafanya kazi siku tano na kupumzika jumamosi na jumapili. Sasa utajiuliza nyie wagambia mnautoa wapi huo wa kwenu, ka-nchi kenyewe maskini vile.
Ukiuliza hiyo miungu wanayoitengea siku zote hizo eti kuiabudu je wanaiona?
Watakujibu wakoloni waliwaambia miungu hiyo haionekani, haisemi na wala hutakiwi kuidadisi wala kuwa na mashaka nayo.
Ukiichunguza tu utakuwa umekufuru na kuchuma dhambi...
Umesahau na wakwetu ni mwanajeshi? au kwa sababu anajiita Dkt?rais mwanajeshi mjinga analitumbukiza taifa lake shimoni ..