Gambia's public sector to have 4-day working week!

Gambia's public sector to have 4-day working week!

Hapa kinachowasumbua watu sio mahitaji yao, bali kwa vile fulani yeye anapata.

Ikiwa serikali iamue hata Jumapili tusipumzike wataona ni sawa.
 
Tena afadhali tufanye kazi wiki nzima, huu upuuzi wa kupumzika ndiyo maana hatuendelei.Mleta mada amenikumbusha kipindi cha mzee Mwinyi, sikukuu ikiangukia w/end, J'3 ni mapumziko.Eti kwa mtindo huu tuendelee!!!!!

in UN system: wao wanafuata utaratibu wa mzee Mwinyi, idd au maulid, xmass ikiangukia weekend basi unalipiza siku inayofuta ya kazi, ila wao wanarespect siku kuu muhimu kama vile: uhuru, muungano ila habari za Nyerere, Karume, Sabasaba day ni siku za kazi tu,hii inatumika kwa mazingira ya kila nchi
 
Hizi dini zinafanya watu wengi wawe kama mazuzu, hasa Africa na uarabuni. Karne hii kweli mtu ana justify hoja kwa kigezo cha dini?

Binafsi mapendekezo yangu ni kuwa siku za kufanya kazi ziongezwe na kuwa 6 kwa wiki. Mfanyakazi awe huru kuchagua siku yake moja kwa wiki ya kupumzika. Ni juu yake kutumia hiyo siku kuabudu au kufanya chochote akitakacho ili mradi asivunje sheria za nchi.

Nawasihi watanzania tufanye kazi kwa bidii, hatuwezi kuongoza nchi kwa matwakwa ya dini zetu.
 
Kuhusu sikukuu za dini kama Christmas, easter, idd, maulid etc wenzetu, mfano Africa Kusini wameanza mchakato wa kufuta mapumziko katika sikukuu zote za kidini. Wao wanapendekeza kwa mwaka wawe na sherehe za kitaifa 2 tu na ndizo watakazo pumzika.
 
Wana JF nina swali;

Kwani dini zote za hapa Tanzania haziwezi kukubaliana na serikali na zikaamua kuwa na siku moja tu katika wiki ya kuabudu/kusali/kuswali?

Mfano, kwanini wanaosali ijumaa na jumamosi wakaamua wote wawe wana sali siku ya jumapili? Au dini zote zichague ijumaa au hata jumanne?

Kwani "mungu/allah etc" hawezi kusikia maombi yenu siku zingine?
 
Nadhani Ijumaa ikiwa siku ya mapumziko kama Jumapili hakuna tatizo.
 
Wana JF nina swali;

Kwani dini zote za hapa Tanzania haziwezi kukubaliana na serikali na zikaamua kuwa na siku moja tu katika wiki ya kuabudu/kusali/kuswali?

Mfano, kwanini wanaosali ijumaa na jumamosi wakaamua wote wawe wana sali siku ya jumapili? Au dini zote zichague ijumaa au hata jumanne?

Kwani "mungu/allah etc" hawezi kusikia maombi yenu siku zingine?

Ilo aliwezekani mkuu kila dini ina utaratibu wake kwenye kuabudu.
 
Wana JF nina swali;

Kwani dini zote za hapa Tanzania haziwezi kukubaliana na serikali na zikaamua kuwa na siku moja tu katika wiki ya kuabudu/kusali/kuswali?

Mfano, kwanini wanaosali ijumaa na jumamosi wakaamua wote wawe wana sali siku ya jumapili? Au dini zote zichague ijumaa au hata jumanne?

Kwani "mungu/allah etc" hawezi kusikia maombi yenu siku zingine?

Hayo jadilianeni na wenzako, sisi Wakatoliki halituhusu.

Sisi tunasali siku zote, ila kwa kuwa Jumapili ni public holiday basi huwa tunakusanyika na kufanya Dominika
 
Nikawaida ya WaTanzania kusubiri waone wengine wamefanya kitu ndipo wao waanze Kushangaa shangaa, utasikia maneno kama;
”Wenzetu bwanaa!! WaKenya bwana !!! WaZungu bwana!!!! Sasa WaGambia bwana!!

Kuanzia tarehe 01/Feb/13 Serikali ya Gambia Imeamua siku ya Ijumaa kuwa ya mapumziko kuwapa waislam nafasi ya kujiandaa na kuabudu kama walivyopewa wakiristo siku za Jumamosi na Jumapili

Wa-Gambia watafanya kazi siku nne kwa wiki, kuanzia J’T
atu hadi Alhamisi, saa za kazi zitaanza sa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni, ambapo mfanya kazi atakuwa amefanya masaa 40 kwa wiki sawa na kufanya kazi (J’tatu-Ijumaa) siku tano zakaida

Raisi wa Gambia na wataalamu wa uchumi wamesema:Kitendo cha kufanya kazi siku nne kwa wiki, kitawafanya WaGambia kupata nafasi zaidi ya shughuli zao za kilimo ambazo ni tegemeo kubwa kwa nchi na pia kutawapa nguvu mpya ya utendaji kutokana na mapumziko marefu


Je Uongozi wa Tanzania unauwezo wa kufanya Maamuzi magumu ?

Source: BBC News - Yahya Jammeh gives Gambians an extra day off

.
Hivi huyu rais wa Ghambia ndio yule mganga wa jadi anaetoa dozi kutoka ikulu?
.
 
Hiyo saa 2-12 ni kazi tena au ni kulazimisha ubabaishaji, tusiongee tu kwa ushabiki bila kutilia maananin ufanisi wa kazi. Kwa mazingira hayo kitakacho tokea ni kushinda kazini na sio kuwa kazini na kufanya kazi ipasavyo. Hii haina tofauti na mwanafunzi anae lala mezani anasoma akiamini kukeshsa kwa kumaliza kitabu chote ndo kusoma. Mfikirie daktari,mwalimu, hakimu. Haya yawezekana panapo mazingira bora ya kazi, mifumo mizuri ya maisha kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla. Kwa nchi zilizoenndelea hiyo inawezekana ila kwa nchi ya kilofa kama TZ hyo bado sana kwa mfanyakazi maisha ni magumu labda uiibie serikali.
Mi nafikiri ukiamua kuondoa ijmaa kama siku ya kazi basi jumamosi iwe siku ya kazi au tusipokubaliana basi tulazimike kurudi kazini baada ya ibada za imani zetu.
Kwa umasikini tulionao ni uwendawazimu kupunguza siku za kazi.
Ikumbukwe pia mapumziko baada ya kazi ni muhimu kwani kazi itakayofanyika saa 12 jioni itakuwa na ufanisi duni kulinganisha na kazi itakayo fanyika sa 1 asubuhi yake.
 
Hata uarabuni ambako ndiko chimbuko la uislamu wanafanya kazi siku tano na kupumzika jumamosi na jumapili. Sasa utajiuliza nyie wagambia mnautoa wapi huo wa kwenu, ka-nchi kenyewe maskini vile.

We muongo hakuna hata nchi moja ya kiarabu inayofanya kazi ijumaa,ijumaa inakua ni mapumziko.tembea uone ndugu yangu usiropokwe kishabiki tu
 
nlimwelewa sana kama ulivoelewa wewe
kutaka ijumaa iwe siku ya mapunziko Tanzania ni ndoto za alinacha
kama hamtaki hamieni huko huko walikotangaza, waarabu wenyewe wanafanya kazi ijumaa mchana ndio wanaingia msikitini.
watu uvivu umewazidi badala yakuwaza kuzalisha mnawaza mapunziko afu mnalia mnaonewa na wakristo.

UOTE=masakafyuku;5597840]likissa umeelewa lakin alichokiongea mdau au umebwatuka tu???? umeambiwa wamekaa wakafanya mahesabu yao wakaongeza masaa ya kaz ambayo inafidia cku yote ya ijumaa xax ww unaanza kuropoka eti ooh ata nchi tajiri awafanyi ivo...ndo mana mdau akasema kwnz wabongo watu wa " wakenya ooih mara wazungungu ooh ww mara nchi tajiri" embu penda kushirikisha kichwa chako kabla ujafanya kitu chochote[/QUOTE]
 
Nafikiri kama tumefikia hapo,ni heri kila watu wa imani fulani waruhusiwe kupumzika kulingana na siku yao.wengine kazi
 
Wana JF nina swali;

Kwani dini zote za hapa Tanzania haziwezi kukubaliana na serikali na zikaamua kuwa na siku moja tu katika wiki ya kuabudu/kusali/kuswali?

Mfano, kwanini wanaosali ijumaa na jumamosi wakaamua wote wawe wana sali siku ya jumapili? Au dini zote zichague ijumaa au hata jumanne?

Kwani "mungu/allah etc" hawezi kusikia maombi yenu siku zingine?

waadventist hawawezi kukubali.kwao kupumzika jumamosi ni lazima sio ombi.
 
Kwa hili nakubaliana na Waislamu 100 Percent.

Bora Ijumaa ifanywe siku ya mapumziko kisheria sawa na Jumapili kwa Wakristo.
ishu ni kwamba, wakristu biblia inawaruhusu kupumzika cku ya 7, waislam kuran inasema waswali halafu waendelee na kazi,(wasipumzike) sasa je kwa kuiweka ijumaa cku ya mapumziko, je watakuwa wamefata biblia au kuran?
 
... Mkuu umenena' hawa jamaa sijui kwa nini wanapenda kutofanyakazi. Kazi kulalamika tu! kuwa wanaonewa- wanaendekeza umwinyi umwinyi tu.
Hawa jamaa wanataka muda mwingi wakukaa na wake zao maana wengi wana matala. Wanahitaji muda pia wa kukaa kjweni kunywa kahawa na kashata na kuchza bao. Angalia mikoa waliyo jaa inavochekesha mf Lindi,Mtwara,Pwani,Tanga
 
waadventist hawawezi kukubali.kwao kupumzika jumamosi ni lazima sio ombi.
Kwani hao wanaojiita SDA huwa jmosi hawali? Nenda ibada asubuhi ukirudi sa 4 kazni tu! Mbona tukiamua tunaweza? Sema tu wabongo umwinyi sana. Ukiwapa muda wanajaza mabaa na magest.
 
Back
Top Bottom