G55 walamba vyeo Chaumma

Acha ufala ndugu yangu, yn mtu mnampa nafasi ya kugombea urais afu unakuja kusema kugombea urais sio sawa na kupewa cheo, 😂 uchawa ndo unakuaga hv yn huoni baya kwenye chama chako ww n kusifia tuu
Naona ushoger wqkonunaniletea sasa... Fuvck u
 
Acha ulofa
 
Msajiri vipi katiba ya Chauma imefuatwa na alikua anafanya mikutano mikuu chauma?
 
Msajili : Hao viongozi wamechaguliwa na kupigiwa kura na Mkutano mkuu wa Chaumma?
 
Yule aliyeandika kuwa G55 hawaendi CHAUMMA yuko wapi!!?
Tuliandika miaka mingi iliyopita kuwa kati ya vyama 19 vyenye usajili wa kudumu, 15 ni proxy za CCM na TISS, sasa naona watu wataelewa.
 
Yule aliyeandika kuwa G55 hawaendi CHAUMMA yuko wapi!!?
Tuliandika miaka mingi iliyopita kuwa kati ya vyama 19 vyenya usajili wa kudumu, 15 ni poxy za CCM na TISS, sasa naona watu wataelewa.
 
CHAUMMA inaenda kuteka siasa za upinzani nchini kwa kujaza vichwa vya hatari.
 
Mimi binafsi iwapo hakutakuwapo mgombea wa CHADEMA, nitapiga kura kwa mgombea wa CHAUMMA.
Naiunga mkono CHADEMA mara zote, ila pia sikupenda kumuachia nyani shamba la mahindi hata kama ananipa hasara
Kwendraa! Mxiuuuu!
 
Bila vyeo huwa wanapata shida kupumua?

Labda walikosa vyeo ccm ndio maana walipiga u-turn wakaenda kwa mzee Hashim yeye kawapa vyeo na ubwabwa.
 
Hapo Chaumma wawe wapole, kwa mzee Rungwe wakimletea uzengeuzenge atawatoa vibusha... mtoto wa mjini huyo 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…