CHADEMA ni CCM B bila shaka yeyote

CHADEMA ni CCM B bila shaka yeyote

kimboka one

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2010
Posts
734
Reaction score
85
WanaJF ninajuwa mlio nashabiki na mliofungwa macho na akili zenu baada ya kulishwa unga wa ndele na CDM mtaanza kutukana japo hili si tatizo la kuacha kuwaelezeni ukweli.

Mtakumbuka vita kubwa ya maneno iliyokuwepo kati ya NCCR na CDM iliyohusu CDM kutukana NCCR Mageuzi kuwa wao ni CCM B yaani wanatumiwa na Ccm kuhujumu upinzani Tanzania,mtakumbuka wakati wa uteuzi wa Mbatia kuwa Mbunge pia wakati wa mgogoro wa Machali na Kafulila ambapo Machali aliwaka sana kuitwa CCM B pia Zitto Kabwe kusema NCCR ni chama dhaifu.

Yanayofana na haya yaliwai kutokea pia kwa CUF.

Mambo haya yalifanya CDM kuunda serikali ya upinzani bungeni bila vyama vingine kwa visingizio ni CCM B.

Kwa nini? CDM ni CCM B
1.Yale yote waliotuemisha kuhusu uccm B wa CUF na NCCR ndiyo wanayofanya na ushaidi tosha ni Muungano wa ukawa na kuunda upya kambi ya upinzani yenye vyama CCM B.

2.Yale yote wanaotuelimisha kuhusu wizi wa Mali za umma unafanywa na CCM sasa ndani ya CDM yameshamiri kwa wingi mfano matumizi ya ruzuku,ubinafsi kwa karibu mkuu ndiye anaye stahili kulipwa mamilioni lakini makatibu wa mkoa hawalipu chochote wanaitwa makamanda tu,Ukanda nk.

2.Migogoro ya kuchafuana ambayo haina tofauti na ya CCM.

Wadau kwa hayo kweli bado hatuna upinzani Tanzania ila wapo wasaka noti tu.

Vijana tuachane na ushabiki tutumie akili zetu kuipokonya nchi yetu mikononi mwa wazi.

Nihitimishe kwa kusema hakuna pepari(Tajiri) aliyewai kufanya ukombozi dunia na kamwe Tanzania haitakombolewa na matajiri kama wakina Mbowe na wengine wa CCM au CCM B,ni wakati wa tabaka la chini(watoto wa masikini wanajua maisha halisi ya mtanzania) kuiongoza Tanzania.
 
Wewe rudi ccm tuachie chadema yetu,twajua act mnatapa tapa mna akili lakini ufahamu umewatoka,mbona hamtoi matamko mabilio ya nchi yanavyo tafunwa na magamba ?mmevurugwa na hamtoweza chadema,kwanza mikoa ya njaa njaa na elimu ndogo ndio wanao toa matamko mfu,mtasubiri sana mikoa hiyo maendeleo mpaka mwisho wa dunia
 
Nimeamini chadema ina vichwa, sikuwahi kufikiri kuwa baraza kuu la cdm limesheheni ACTs. Hakika, Mbowe asingeweza kuchomoka kama angeiingia kwenye kinng'ang'anyiro na MM..wajumbe 82 si idadi ya kuupuuza.
 
Mkuu ndio umejua leo kwamba ni CCM B? Mchungaji Mzinifu hadi leo ana kadi ya CCM na anailipia,,,teh teh teh wakati


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Wacheni matusi. Chadema wangekua CCM wangekua madarakani.
 
Siku nyingine unapotaka kuwasilisha mada yanahusu chama kinachojiandaa kushika dola unatakiwa ujipange si kukurupuka kama ulivofanya hapa. Fallacy argument.
 
Siku nyingine unapotaka kuwasilisha mada yanahusu chama kinachojiandaa kushika dola unatakiwa ujipange si kukurupuka kama ulivofanya hapa. Fallacy argument.

Ha ha ha labda kama Dola ya ruzuku tu kila mwezi,,,bado wachanga sana kupewa nchi mtaipeleka nchi kwenye machafuko na udini wenu na Ukanda!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ndio umejua leo kwamba ni CCM B? Mchungaji Mzinifu hadi leo ana kadi ya CCM na anailipia,,,teh teh teh wakati


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile


Kwani katiba ya magamba inaruhusu kuwa na kadi mbili? Acha kuweweseka kama nape nauye...nenda kasome katiba ya magamba vizuri. ..
 
Kweli ukawa ni kiboko ya magamba. ..big up ukawa
 
Drama la tamko fake inaendelea.

Aliye tajwa kwenye tamko awakana


Wana jamvi na wanahabari mimi halid rashid ufafanuzi wa tamko lilotolewa na ndugu balozi akijitambulisha kuwa wajumbe wa mkutano mkuu na baraza kuu chadema taifa; ndugu wana jamvi,wanahabari na wananchi wote napenda ifahamike kuwa tamko hilo mimi silitambui,sikushiriki na siliungi mkono na sikuwepo kama mlivyo tangaziwa leo;pili jina langu naitwa halidi rashidi na sio halid halfan,tatu mimi sio katibu wa(w) nimesimamishwa tangu january nafasi hiyo,nne naungana na ukawa kwa 100%na pia mikutano ya ukawa tanga,muheza na mkata mimi nilikua mc,tano nawakubali viongozi wote mh mbowe,dr slaa nk katika kuendesha chama,tahadhari mamruki wasitumie jina langu kujinufaisha kwa magamba na vibaraka wake;mimi ni mwanachadema mwaminifu naendelea kujenga chama hapa tanga mjini;ahsante wote
 
CCM na ACT wanatumia mbinu za kizamani sana kwenye propaganda zao za kijinga , sijui mshauri wao ni Faizafox......
 
Kwenye siasa hakuna permanent firend or enemy, bali kuna permanent interests/ideology!!
 
Mkuu ndio umejua leo kwamba ni CCM B? Mchungaji Mzinifu hadi leo ana kadi ya CCM na anailipia,,,teh teh teh wakati


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile


Kwani katiba ya magamba inaruhusu kuwa na kadi mbili? Acha kuweweseka kama nape nauye...nenda kasome katiba ya magamba vizuri. ..

Sasa swali hilo badala ya kumuuliza Padri Mzinifu unaniuliza mimi? By the way alikiri anayo kadi ya Chama kubwa CCM.
 
Chadema ndo mpinzani wa kweli km ni kuweweseka hata ccm kuna muweweseko pia kwani wengine mara ohoo lowasa ameanza kampeni,wengine mara ooo membe ashughulikiwe......sembuse hao yona na wenzie walofukuzwa uanachama chadema, kwanza hatuwataki we uliona wapi kamati kuu inakaa bila m/kiti na katibu kuwepo?hiyo tunaifahamu imesukwa na wachumia tumbo yona na wenziwe hatuwataki.....kwanza wamechemko ni sawa na kenge anayefurahia jua huku likielekea kuzama.
 
Back
Top Bottom