Ni mkakati eti wa kuiua cdm, na vyombo vya habari vinapewa posho kuhakikisha vinatangaza habari hizo ili kufanya ionekane cdm imekufa. Mahali wanachoka ni pale wanapoona mikutano ya NRNE inajaza watu wanazidi kupata shida. Uzuri wananchi nao wameshaamka, na wanapoona hizi press za kila siku ndio wanazidi kuamka kuwa kuna mpango nyuma ya pazia.Hizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?
Cdm hawatakiwi wawajibu kabisa hawa wasaka vyeo. Chama kimekuwa kikihujumiwa kwenye chaguzi, mbona hatujawahi kuona wakitoa press conference kama hizi? Sasa hivi kinachoendelea nakifananisha na mti kupukutisha majani, maana hicho ni kitendo cha kuhakiksha mti unabaki hai. Na vyombo vya habari vinapewa hela kuzipa airtime hizi press za wahuni.Niwashauri Chadema wawapuuze kabisa hawa kenge, wasiwajibu
MKUU, lengo lao limetajwa vizuri sana kwenye HOJA #6 hapo juu "RETIREMENT"Ina maana media za Dar hasikiki Moshi na Morogoro au lengo lao kuzurura wamekosa cha kufanya Dar?
Mkuu na hata hao wenyewe G55 hawa kuhama chama na hawakuwa na mapress kila siku itwayo leo.Kwa hili nakupa like, japo mara kibao unazinguaga we mwanachama wa Chama Cha Mafisadi.
Mkuu, ebu mpe heshima yake; hakujipeleka bungeni, bali amepelekwa; amejiunga na CDM kwenye tawi lake na huko ndiko atakako kwenda kutatua masuala yake ya kichama muda utakapo wadia; nadhani na wale wengine. Kwa sasa wanakamilisha shughuli za bunge.Waisemee Chauma si wameenda huko, mzee mdee anasoma upepo tuu.
Msiwapangie G55 namna ya kuzungumza huo ni UDIKTETA uchwara.Waacheni wazungumze wanavyotaka Cha msingi wasitukane na .wasidharirishe watuWakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Pia soma Pre GE2025 - Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike
Imebaki CHADEMA ya mwendawazimuMuda sio mrefu watasahaulika kbs kwenye siasa za Tz, nje ya chadema hao wote ni pimbi tuu!
Mwanamke malaya akitaka kuondoka atatangaza kila mtaa ili mabwana zake wapya wajue yupo huru.Nyie si mmesema anayetaka kuondoka na aondoke na wao ndio wanatangaza kuondoka Chadema sasa! Au hupendi?
G55 bado wako chadema, wachache wamejitoa wengi wamebaki na wanaendelea kupinga No Election.Hao wasaka tonge wanao jiita G55 kwa kuwa walishatoka CHADEMA, kwa njia ya kuvuliwa uanachama na kujivua wao wenyewe hawana haki ya kutumia alama za chama (nembo, rangi, nk.).
Chadema Temeke wamekanusha.Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Pia soma Pre GE2025 - Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike
Wanahalalisha matumizi ya hela ya AbdulIna maana media za Dar hasikiki Moshi na Morogoro au lengo lao kuzurura wamekosa cha kufanya Dar?
Nilimpenda sana mzee Mdee, lakini nilipoona ni mwanasheria alafu chama kikikuvua uanachama bado unang'ang'ania, nikaona bora angesoma art kabisa.Mkuu, ebu mpe heshima yake; hakujipeleka bungeni, bali amepelekwa; amejiunga na CDM kwenye tawi lake na huko ndiko atakako kwenda kutatua masuala yake ya kichama muda utakapo wadia; nadhani na wale wengine. Kwa sasa wanakamilisha shughuli za bunge.
Waache kufanya press, wawaite watu wawaambie hayo wanayotaka yawafikie kupitia hizo media, wanajua watanzania washawaona ni machawa tu kama machawa wengine ndo maana wanaogopa kuitisha mikutano wanakazana na medias tuuInamaana huamini kuwa wanafadhiliwa? Na kila mmoja atajiunga chama chake na wengine wataomba kurudi baada ya ufadhili kuisha.
Mafuvu yamevulugwa, (akili zimehama), itachukua miezi 3-6 mafuvu kurudisha akiliHizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?