Choo lazima kifanyiwe usafi,mapimbi yaacheni yapige kelele tu.Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Hao watu ni mental-retards.Wanaaga na kuondoka mara ngapi?Au wapo kwenye kampeni ya kuhutubia na kuaga?Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Tulipkuwa tunasema chadema chini ya mzee mbowe ilikuwa ni SACCOS nyie manyumbu hamkuwa mnatuelewa hata kidogo.Watanzania sio wajinga.
Huku kunazidi kutuonyesha rangi zao halisi. Nawashauri watembee kila mkoa, wilaya, kata, kijiji, mtaa na nyumba kwa nyumba ili tuwafahamu vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Ajabu kabisa.Marehemu wanajipamba kabla ya kuzikwa.Hawa ni viongozi wa chadema Tena?
Wahuni Wanapewa Nguvu Na KijaniHizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?
Lakini si wakiongea once wanasikika worldwide?Wa Dar waongelee Dar, Wa Moshi waongelee Moshi nk
Anaedharau kambi pinzani ndani ya Chadema huenda alikuwa mkimbizi wa muda mrefu kwamba hajui ambayo yanaendelea nchii hii. CUF ilikufa kwa sura hiyo..CUF has become history, almost no more. The same,kwa movement hii ya G55 Chadema is on the same path through which CUF took to it's total death. A matter of time. Anaebisha kuwa CCM ni GIANT muda utatuambia.
Hivi wanafanyaje retirements!!?Wanajustify fweza ya abdul wakafanye retirement, pesa ngumu ujue...
Ndiyo wanatuamsha na sisi wa Ibadakuli tujue kwamba hoja si kujivua Uanachama tu bali kuna zaidi ya hapo.Lakini si wakiongea once wanasikika worldwide?
Hivi wanafanyaje retirements!!?
Wanazo risiti za matumizi yao kweli!!??
Mbona una hasira? Au uiltokea kwa nyuma?Tulipkuwa tunasema chadema chini ya mzee mbowe ilikuwa ni SACCOS nyie manyumbu hamkuwa mnatuelewa hata kidogo.
Endelea kuota ndotoPress ya Mdude haijafadhiliwa. Ila ya wanaotaka kujitoa Chadema, wamefadhiliwa sio? Kumbe wanachokisema wanaotoka ni kweli kwamba sasa hivi Chadema imejaa chuki, roho mbaya, visasi na ubinafsi! Na wote wenye akili wataondoka tu. Na usishangae hata Mnyika akaondoka maana sio aina ya siasa anayoijua!
Nani anaota kati ya mimi na wewe?Endelea kuota ndoto
Wewe hujioni? Umekaa kichawa chawa hujui hata usimame wapi na maisha.Nani anaota kati ya mimi na wewe?