FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe)[emoji848][emoji2827]
 
Yote uliyoeleza yanawezekana kutokana na maendeleo ya teknolojia!

Lakini la kutokufa milele lina walakini!

Unaujua mfumo na kanuni ya utajiri ama kuhodhi ukwasi?

Kwa mfano wako, zaweza kupita miaka hata elfu mtu akiwa tajiri, lakini hawezi kuwa tajiri milele.

Kwa hiyo ufukara utakapoingia, kifo nacho kitapiga hodi!

Pia kifo ni"option" mbadala ambao mtu huweza kukitafuta ili kukwepa jukumu flani ama kwa manufaa flani ama kwa kuchoka tu na maisha!
 
Hata ambayo yalidhaniwa kutowezekana kamwe hapo kabla sasa hivi yanaonekana ya kawaida
 
Mimba za maabara zitauwa vingi
 
Maandiko yalishasema hayo katika ufuo hayo yatatokes baada ya unyakuo wa kwanza, roho mtakatifu atakuwa ameshaondoka baada ya watakatifu wa kwanza kunyakuliwa
 
Nyie watu wa dini hampendi kabisa kujifunza nje ya mlichokalilishwa huko miskitini na makanisani

Rubbish!!!
 
Nikiskia neno unyakuo huwa nafurahi sana, unyakuo ndio nini unyakuliwe kwenda wapi wewee mswahili[emoji3]? Huyo mnyakuaji atanyakua kizazi gani? Kilichokwepo wakati wake na wakati huu ama na vizazi vilivyokwepo kabla yake kuanzia kwa Adam?[emoji3][emoji3][emoji1787]
 
Atanyakua watakatifu walio hai, hao waliopumzika, wataendelea kupumzika mpaka parapanda itakapolia ndio watafufuliwa
 
Baada ya unyakuo kifo kitakoma, watu watakitafuta kifo nacho kitawakimbia, upendo hautakuwepo Tena, kama tunavyoona upendo unavyopotea na ukatili unazidi kuwa mkubwa
 
That will be new version ya human being, lakini hatakuwa mtu mwenye nafsi na Roho yenye sura ya Mungu, atakuwa mtu ambaye hana asili ya Mungu katika utu wake wa ndani, ambao ndio mtu halisi, utu wa ndani wenye sura ya Mungu una upendo, huruma , ukarimu, imani na ibada kwa Muumba.
 
napenda sana mada hizi za kufikirika zenye kutumia akili sana na kutaka kuonekana za uhalisia zikilinganishwa na wakati uliopita, uliopo na ujao. Hongera mkuu Mshana Jr
 
Haya uliyoandika yote ni movie tu zipo kibao zimetemgenezwa sio uhalisia

Sio tu kumfanya mtu aishi milele bali hata kumfanya binadamu wa Sasa waishi miaka 800 au 900 kama binadamu wa Zamani hawawezi

Na ni Bora wangeanza kufikiria hili la kurefusha miaka kutoka 70 ya yasasa Hadi miaka 700 kama watu wa Zamani wakifanikiwa ndio wafikirie Hilo la kuishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…