nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,904
Wafuatao ni orodha ya wapenda maigizo na vichekesho,
1.Mahouse girl
2.Wanawake wamama wa nyumbani.
3.Wanafunzi msingi na sekondari.
4.Wanaume wasio na hulka ya kujisomea vitabu wala internet.
kuna wakati mwingine akili inahitaji kuchangamshwa ikiwa ni pamoja kupata vichekesho sio mda wote umekomaa na kusoma vitabu, huwezi kusoma vitabu mda wote au kuingia internet mda wote acha unafiki na dharau