HollandKaribu sana mkuu ndio hizo tunazotakiwa kushare kwa pamoja hapa.
Maana waajiriwa serikalini wakitoka njee na walio ndani pia wanapata fursa za ajira serikalini
Kwa wasikuwa waajiriwa wa serikali yetu pendwa inakuwaje?Fursa ni nyingi, ila ni nyepesi sana kwa waajiriwa wa serikalini.
Taarifa nzuri sana kwa wanohitaji kusoma nje.. ni vyema pia TUPATE EXPERIENCE YA WATU WAILOOOMBA SCHOLARSHIP WAKAFANIKIWAHolland
German
UK
Irish
CSC (jumuiya ya madola)
CSC China
Korea
Japan
Indonesia
Uae
USA
Sa
Poland
Italy
Russia
Swiden
Norway
Denmark
Finland
Etc
Manchi kibao yana skolashipu ni wewe kuchangamkia, zipo za kulipia wakati wa kuomba na zipo za bure
Taarifa nzuri sana kwa wanohitaji kusoma nje.. ni vyema pia TUPATE EXPERIENCE YA WATU WAILOOOMBA SCHOLARSHIP WAKAFANIKIWA
,NAMNA YA UJAZAJI WA FORM ,UJIBUJI WA MASWALI, ZILE INSHA ZAO!!
INTERVIEW ZA VISA PAMOJA NA PROCEDURES NYINGINE KAMA HIZO...
Kuna maswali ya msingi kwenye hi application form ya hii scholarship kwa waelewa wanaweza kutusaidia vizuriMasters Scholarship fully funded kwa Wa Tanzaznia wote ni free kuapply
View attachment 1889826Tanzania (Chevening Scholarship) | Chevening
Chevening Scholarships for Tanzanians looking to study in the UKwww.chevening.org
Cc: Per Diem muzee ya Norwei 😁Hahaha! Yote yawezekana
Nyingi zina wapa kipaumbele waajiriwa wa serikali kuna Hungary, orange huko Holland etcKwa wasikuwa waajiriwa wa serikali yetu pendwa inakuwaje?
Mkuu dondosha link za websites kadhaa unazozifahamu tafadhaliNyingi zina wapa kipaumbele waajiriwa wa serikali kuna Hungary, orange huko Holland etc...
Na hasa zinazo pitia ktk mamlaka za serikali... Na hata ambazo hazipitii huko, kwa mfano za ubalozi etc
Kuzipata ni kusoma vigezo na kujua muda wa kutuma maombi...
Pia jifunze lugha za mataifa husika ina saidia, wachina wamechukua wengine kupitia program ya kufundisha kichina ktk vyuo vyetu, wakorea etc...
Kuna fellowships pia...
Mambo ni mengi pambania jifunze kitu kipya, hakuna linalo shindikana...