6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,508
- 2,875
KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA:
Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA.
Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..
kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi.
Tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani mbali mbali kila siku linazidi kuongezeka,
hivyo basi ni vyema walau asilimia kadha kuangalia fursa nje ya mipaka ya Tz, kuliko wote " kukaa na kusikilizia mishe" au kusbiria ajira za serikalini.
Pia kwa wafanyabiashara wanaofikiria kukuza biashara zao kuexport na kuimport..
Wenye ndoto za kujiendeleza kimasomo ngazi za juu nchi za ulaya, marekani etc... kutafuta exposure na kadhalika..
Wale wa taloi walioizunguka hii dunia pia mnaweza kutupa mawili matatu,
kutokana na experience yenu na ni namna gani inaweza kumsaidia na MTanzania ambaye ana ndoto za kufanikisha moja ya mambo niliorodhesha kwenye kichwa cha uzi hapo juu..
Karibu!