Kwanza nikupongeze kwa moyo wako wa upendo na kujitoa ila lai au maoni yangu tumuombe mungu ili tuwe na upendo sisi sote, Watanzania tumetawaliwa na ubinafsi , roho mbaya na chuki ndio maana Leo kuna ugumu kwa sisi Ku fanikiwa , wakenya wana magroup very useful kwa kusaidiana tena vitu sensitive ila sisi wa bongo sasa ni ujinga na umbea, mkenya akifanikiwa basi zalima ata waambia wenzake A to ź ngoja nitoe usuhuda kuna mkenya aliomba mkenya aliye nje ( marekani, Germany au British ) kwa ajiri ya ku verification ya account basi dk kadhaa wakenya wa Germany - Munich , USA na England walikuja chap na wapo tayari ku msaidia, pia wana elekezana namna ya maswali ya ubalozi na kuya jibu yaani huwa nashangaa sna tena wako free sna kusaidiana ili wasafiriPia kwa Diaspora mliopo nje tupe maujanaja jamani ni namna gani tunaweza kununua stocks za kamuni mbali mbali huko nje...!
Hakika nyinyi mtakuwa na taarifa kwa ukaribu na uhakika..
Karibuni...!