Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Nipo kwa sadoo biashara inayoenda hapa ni kitimoto karibun
 
Na huu ndio wakati mzuri wa kufundishana biashara haswa kwenye kilimo walahi
Kwa mfano kuna mashamba ambayo mtu ameyashindwa kuya endeleza na anauza au ubia.
One is one and two is twenty walahi
 
Na huu ndio wakati mzuri wa kufundishana biashara haswa kwenye kilimo walahi
Kwa mfano kuna mashamba ambayo mtu ameyashindwa kuya endeleza na anauza au ubia.
One is one and two is twenty walahi
 
Hello wana JF, Hususan kwa wale mliopo mkoani Kilimanjaro, Nimefkiri na kutafakari njia rahisi ya kutukutanisha vijana na rika lingine hasa walio eneo moja kwa lengo la kuangazia fursa za kibiashara, masoko na fursa nyinginezo kama kuunda vikundi, kampuni au viwanda vidogo vidogo......

Hivyo nawakaribisha wote mliopo mkoani Kilimanjaro tushirikishane mengi hapa.........

Kwa kuanza utatueleza unapopatikana, biashara yako n fursa zilizopo pamoja na jinsi wengine wanaweza kuzifkia fursa hzo........ N. K katika kupambana na umaskini...

Karibuni wadau wote:
Mdau ni wazo zuri sana na litakuwa na tija na manufaa kwetu kama watu watazingatia maudhui ya mleta mada
Mimi napatikana Moshi
Ninafuga kuku wa nyama wapatao 200
Pia nina mchanganyiko wa kuku wa kienyeji pure
Kroila
Saso
Malawi
Kuanzia mwakani nitaanza kuuza mayai kwa atae hitaji ani pm tufanye biashara
Kuku wa nyama kuanzia tarehe 17/12/2018
Nitaanza kuwatoa bei ni 7500 karibuni sana wadau kwa wanao hitaji kuku
 
Uko vzur mkuu, pia nikupongeze kwa kuelewa maudhui ya post yang....... Kimsingi tunawezatengeneza network nzur hata ya masoko kwa wafugaji au wakulima na ujasiriamali........ Tukafanya biashara..... Mm pia nategemea kuanza ufugaji soon ww........ Ningependa kukutembelea for inspiration kama hutojal mkuu
Mdau ni wazo zuri sana na litakuwa na tija na manufaa kwetu kama watu watazingatia maudhui ya mleta mada
Mimi napatikana Moshi
Ninafuga kuku wa nyama wapatao 200
Pia nina mchanganyiko wa kuku wa kienyeji pure
Kroila
Saso
Malawi
Kuanzia mwakani nitaanza kuuza mayai kwa atae hitaji ani pm tufanye biashara
Kuku wa nyama kuanzia tarehe 17/12/2018
Nitaanza kuwatoa bei ni 7500 karibuni sana wadau kwa wanao hitaji kuku
 
Nauza mabegi ya lap top na shule kama PANASO,BIOAWANG,,, kuanzia elfu 16,000 jumla na reja reja 18,000 tupo k.koo mtaa wa kipata na swahili.
 
Yote ni majiji makubwa na yanachangamoto zake
Kwa mjasiriamali mdogo anayetaka kuwekeza ni jiji lipi la kuwekeza kwa gharama nafuu na likakutoa
Hata kama una mtaji mdogo
 
Kitu chochote unachokinunua na kukiuza kwa bei ya faida inalipa tatizo ni nidhamu ya pesa na uvumilivu
 
Kwa nijuavyo mm people are getting rich in all works of life haijarishi sehemu au biashara kikubwa pawe na watu na kwakuongezea mtu ni watu so unaweza kuwekeza kwenye maliasili watu
 
Je, ni biashara ya aina gani?

Ukiachana na biashara za Mazao kwa kuwa kilimo hakifanywi kwa kiwango kikubwa, Dar es Salaam ni jiji linolafaa sana kwa Biashara. Bidhaa nyingi sana zinauzika kutokana na utitiri mwingi wa watu. Sema kuna ushindani wa hali ya juu.

Arusha pia ni jiji zuri sana kwa biashara. Haswa ukizingatia kuwa linatembelea sana na wageni kutoka nchi za nje.
Sema maisha ya arusha in ghali hasa makazi
 
Toyo linauzwaje huko dom
Yap naona vijana mmeamka sasa kutafuta fursaa na sio mnajikalia tu na kuwaweka wazaz hasar ya kuwalisha kila siku,anyway mi nko dodoma huku,fursa huku ni usafiri hasahasa Toyo,trip moja ya toyo sio chini ya 5000 sasa piga umepata trip 5 tu hapo unakuwa na 25000 per day kwa mwezi una 750,000 kwa miezi 10 una 7.5 mil hapo umekosa nnn,fursa ni mtazamo wako tu,karibuni
 
Mimi nilipo fursa kubwa na ya uhakika niliyoiona mm kwa jicho pevu ni elimu!afya!
Huku watoto wengi sana wapo tu na unawaona wanaenda shule ilimradi...na shule ziko mbali kweli...niliwahb fikiria unafungua shule nzuri unatafta walimu wazuri usitoze ada kubwa sana utapiga hrla had ushangae..hii ni kuanzia nursery had secondary...sehemu zote nilizopita nashangaa sijawah ona private ya maana au chekechea mtaani😣😣😣!matoto yapo yapo tu yanachunga 🐄 tu...
2.Afya..sidhan km mkoa huu kuna private hosp ya maana...!kifupi zilizopo hazina hata hadhi ya kuitwa kituo cha afya..chafuuu..huduma hakuna..!yaan apatikane Dk mmoja aanzishe zahanati huku jamani huyo within a year ni mtu mwingine..
Mfano Ifakara kuna hosp niliwah lazwa mwaka jana..nilipofika pale homa ilikata...!ni nyomi la watu...anachaj rahis kuandikisha kadi 1000!..wanapokezana kwa shift hapo mapokezi..bahati nzuri mwenye hyo zahanati ni family friend alisrma kwasiku kadi tu zile za kujiandisha anapata zaidi ya laki 3..achana na kutoza kitanda na madawa!

Jamani madokta hebu tafuteni mitaji mje mjipatie maisha mazuri..!kuna Dk humu karibu kila mara namwambia njoo ufungue hosp huki naona haelewi kalemaa na dar😏!
Huu ndo uwekezaji jamani sio biashara za uchuuzi sizipendi mno maana hazinaga uhai mrefu..ukifungua shule /hospital huu ni urithi wa wanao!

Nyie wanavyuo mlomaliza chuo kujeni huku mfungue vituo hata vya kufundishia tuition ..hasa hesabu
fizikia chemia muone mtakavyomake!then baadaye mtapanda had kufungua shule .watoto wengi mno huku huwaoni wakienda shule...!na wnaoenda tu ukimwangalia unajua huyu hakuna kitu(me nna hako kakipawa😆)hawana ht ari ya shule..lakin wakipata walimu wakawamotivate naamini watapenda shule!

Aliye serious hasa kwenye ishu ya shule iwe chekechea au secondary asiniache"😎!tutafte hela jamani!
 
Mimi nilipo fursa kubwa na ya uhakika niliyoiona mm kwa jicho pevu ni elimu!afya!
Huku watoto wengi sana wapo tu na unawaona wanaenda shule ilimradi...na shule ziko mbali kweli...niliwahb fikiria unafungua shule nzuri unatafta walimu wazuri usitoze ada kubwa sana utapiga hrla had ushangae..hii ni kuanzia nursery had secondary...sehemu zote nilizopita nashangaa sijawah ona private ya maana au chekechea mtaani[emoji21][emoji21][emoji21]!matoto yapo yapo tu yanachunga [emoji230] tu...
2.Afya..sidhan km mkoa huu kuna private hosp ya maana...!kifupi zilizopo hazina hata hadhi ya kuitwa kituo cha afya..chafuuu..huduma hakuna..!yaan apatikane Dk mmoja aanzishe zahanati huku jamani huyo within a year ni mtu mwingine..
Mfano Ifakara kuna hosp niliwah lazwa mwaka jana..nilipofika pale homa ilikata...!ni nyomi la watu...anachaj rahis kuandikisha kadi 1000!..wanapokezana kwa shift hapo mapokezi..bahati nzuri mwenye hyo zahanati ni family friend alisrma kwasiku kadi tu zile za kujiandisha anapata zaidi ya laki 3..achana na kutoza kitanda na madawa!

Jamani madokta hebu tafuteni mitaji mje mjipatie maisha mazuri..!kuna Dk humu karibu kila mara namwambia njoo ufungue hosp huki naona haelewi kalemaa na dar[emoji57]!
Huu ndo uwekezaji jamani sio biashara za uchuuzi sizipendi mno maana hazinaga uhai mrefu..ukifungua shule /hospital huu ni urithi wa wanao!

Nyie wanavyuo mlomaliza chuo kujeni huku mfungue vituo hata vya kufundishia tuition ..hasa hesabu
fizikia chemia muone mtakavyomake!then baadaye mtapanda had kufungua shule .watoto wengi mno huku huwaoni wakienda shule...!na wnaoenda tu ukimwangalia unajua huyu hakuna kitu(me nna hako kakipawa[emoji38])hawana ht ari ya shule..lakin wakipata walimu wakawamotivate naamini watapenda shule!

Aliye serious hasa kwenye ishu ya shule iwe chekechea au secondary asiniache"[emoji41]!tutafte hela jamani!
Wapi?
 
Back
Top Bottom