Mkuu wiki moja iliyopita nimepata magazeti ballo 20 za kg 20 kwa 25K@ aisee ss sijui mnatofautiana machimbo mnakoyatoa au vp,ila still najua bado hamko expensive sana.balo za kg 20 mnauzaje by tge way km nitahitaji???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kilo ya gazeti la nje ni tofauti na kilo ya gazeti la nchini? Hebu funguka ni nini hasa kinachokuwa nyuma ya haya magazeti ya nje wakati nchi inahimiza tutoe kipaumbele kwa vitu vyetu?
 
hayana tofaut kwa bei ila ya hapa nchini wafanya biashara weng awayapend kutokana na pale unapotumia magazet ya tz wino wa kwenye gazet hutoka na kubaki kwenye bidhaa hasa bidhaa zenye joto au maji maji, ila haya ya nje atavuji wino.
Asante kwa taarifa iliyonijuza kitu ambacho sikukijua. Nilidhania ni katika kutukuza tu vitu vya nje. Hata hivyo bado kuna kasoro ya kuchukulia magazeti ya nje kwa ujumla na ya ndani kwa ujumla. Hivi ni kweli magazeti YOTE ya nchini ni mabaya na ya nje YOTE ni mazuri? Lakini nimeelewa hoja yako.
 
Bei ya 40000 mpk 45000 ilikuwa kipindi kile mifuko ya plastic ilipopigwa marufuku, bt baada ya hii mifuko mbadala pamoja na ile laini myeupe maarufu kwa jina la mnazi inayokaa 200 kwa bei ya tsh 2000 imeshusha sna bei ya magazeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo mazuri ila biashara inakuja kuwa na pancha pale ikiwa wenye maduka wananunua bandle kutoka kwenu sijui watu watauzia wapi kama target ni kwa wenye maduka ili na wao wapate kuzungusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…