Morogoro sukari kilo moja sh. 6,000/

Haji Mashaka Nassoro

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
381
835
Bodi ya sukari acheni usanii Morogoro wafanyabiashara wenye maduka ya jumla wanatamba mfuko wa sukari wa kilo 25 wanauza sh. 135,000/ inasababisha dukani kwa Mangi uswazi auze kilo moja sh. 6,000/.
 
Nchi ambayo inanuka rushwa hata kuchukua maiti hospital unategemea Nini?Sisi wenyewe ndio wajinga kuwasifu ccm ambayo wanaleta huu umaskini wa mtanzania bei ya sukari ilitakiwa ifike kilo Moja shs 15000 ili twende sawa
 
Back
Top Bottom