Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
- Thread starter
- #81
Ntaifanyiaaa Kazi hiii
Ntaku Fata whatsap unipe ramani
Lbda naweza achana na mambo ya kwenda gairo
Etc
Ova
😂😂😂😂 njoo..hii deal iko makini sana..sijaandika hapa kupoteza muda..mie niko tyt tu na mambo yale
