ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,259
ccMane umesema kuhusu hii biashara ya uwakala wa maji na Soda hii inafanywaje Mane tafadhali na B kama unazo alafu vip kuhusu hii ya miamala ya pesa alafu kwani Mane wewe uko sehemu gani wangu mimi nimehamasika na hustle zako na natka nijilipue uko wangu pls naomba kama unayo maelezo basi emu tupe mbilu tatu z kuanza nazo ila salute Mane wewe ni noma nawapenda watu kama nyinyi ni watu wenye spirit ya mapambano haswahaya...na trauza naona karibu kila siki usk unaona mtu ananunua anavaa hapo hapo anasepa..zile kadeti


