Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.


heee...kumbe!bas hawa leseni yao ni uongo..!wabongo salute..ndo maana@Ras Jef Kapita katuponda watz kwa ujuha huu huu
 
Sio utapeli...
This business is real na iko kitambo tu.
biashara hii IPO miaka mingi tu na hata kupeleka Uganda. Shida yake ni vibali tu maana vinatolewa kwa makini mwisho sisi tens tusiagize Michele toka Rwanda na Uganda
 
Huku chunga ngozi hazina soko zamani ngozi ilifika mpka 70 elfu sasa hivi hakuna soko
Na sio mchele tu hata ngozi ya ng'ombe...
soko lake lipo naigeria ni biashara kubwa sana..mbali na matumuzi mengine wenzetu wanigeria ngozi wanakula ni chakula....
lkn mavijana ya humu ukiyapa peyable business deal at a point of time...wanakuona ng'ombe tu.... ndio maana huwa naachana nao.....ukiendesha range wanakuona mchawi wakati ni vitu vya kawaida....!!?
 
Kuna fluctuations....
chakula kikipungua wanasitisha vibali/leseni
hata kwa ngozi za wanyama ilikuwa hivyo but sasa hv vipo na vinatolewa...
ni ufatiliaji wa taarifa sahihi kutoka kwa mamlaka husika...
Vibali vinatolewa wapi
 
Habari ndugu wanajamii forum!

Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka

Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...

nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..

Jamani kuna watu wanapiga helaaaa..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee! wenye mitaji "yenyu"

Kocha Mkuu
@BILGER
Wewe mwanamke umejua hela hutaolewa.
 
Ha ha haa leo ndio unaamka!!?
ongeza sifuri hapo....
mchele unauzwa kwa waharabu...
the only place you can fetch a good price
lakini lazima uwe na export license
na mtaji wa kusafirisha tones kwenye meli
amkeni mtaelewa tu...
SI lazima meli biashara ya kueport Kenya,Uganda,Burundi ,Kongo ,Zambia Malawi mbona watu wanaenda na mizigo midogo tu Sijajua kwa Rwanda Lakini nchi zingine hizo Wala
 
Swala ni kuwa kama Biashara hizo zinalipa kwa nini Serikali haitoi auheni kwa anayeanza biashara japo kwa trip mbili za mwanzo na apewe temporary permit kabla ya leseni ili watu wawe na nguvu ya mitaji biashara na kuachana na mifumo ya uchumi wa ukoloni?
 
Back
Top Bottom