Habari ndugu wanajamii forum!
Wakati Tunaposubiri
Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka[emoji5]
Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...
nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..
Jamani kuna watu wanapiga helaaaa[emoji848][emoji848]..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]! wenye mitaji "yenyu"
Kocha Mkuu
@BILGER