Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
- Thread starter
- #221
Pole
sina hamu..asante mamy!
Pole
Sio kweli mkuu leseni ya biashara ya mazao kama ni kwa ndani ya nchi hutolewana halimashauri husika u ayofanyia biashara, gharama yake ni laki 3,kwa mwaka, kama kwa export hutolewa na wizara ya viwanda na biashara nayo ni laki 3!!!na hata mwezi uliopita tu nimekata hizo leseni.Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.