kwanza kabisa tukija kwenye upende wa pesa yao : comoro wanatumia Euro na comoro France (kmf) .pesa Yao ni mara 5 ya pesa yetu yan kmf 1 = Tsh 5 ..na kwa upende wa euro pia wametuzi kwao Euro 1= KMF 500 wakat kwetu Euro 1= Tsh 2,600/= iyo hupelekea biashara kuwa na faida kubwa ...turud kwenye bidhaa zinazoitajima sana ni:
mboga mboga kama vitunguu,hoho,carrot,cabbage
nyama ya ng'ombe/mbuzi
Ng'ombe / wazima
juice hasa za Azam
maji
magimbi
magodolo
fenichers
nguo but hasa nguo za. ndan
matunda
tissue na vitu ving tuu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaa kwa sababu una fungua akili tulio kua tume lala