Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

bas iriki Mbichi ni deal sana 1 kg inauza kwa 15000kmf ..ambayo ni sawa na Euro 30

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh .....mimi nakusanya sana iriki milima ya usambara ila nauzia mombasa na uganda
Sasa tunafanyaje?maana mimi ni mzee wa kubadili Gia angani
Any way nishafikaga visiwa vya moheli lkn nkitokea mafia
Namba ya sim nshakupa fanya hivyo tuyajenge

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachotakiwa ni ww kutenga muda wa kwenda kutazama fursa ..utatumia usafir wa ndege ukiwa na Visa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa thread nzuri mkuu

1. Kama hutojali unaweza ukatupa mchanganuo wa gharama kama tukitaka kuja kucheki fursa huko, gharama ya usafiri, gharama za kulala, gharama za kula n.k

2. Je huko hayo masoko ya hzo mboga, ngombe, vitunguu n.k, unaziuza kwenye makampuni, sokoni au sehemu gani husika, na vp kuhusu malipo? Hawasumbui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm ni mfanyabiashara tz-comoro ..nilianza mwaka Jana lakn mafaniko ni makubwa Kwan kuna fursa nying sana sababu visiwa vya comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje..ivyo hupelekea kuwa na demand kubwa ya mahitaj hasa vyakula lakn changamoto hasa inayopelekea biashara ya comoro kusua sua ni usafirishaji lakn fursa ni nying sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara Kwan hata kwenye upende wa usafirishaji wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzur sana wakat tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati ...sababu kuna kipind comoro mzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda...lakn fursa ni nying sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye kujua zaidi jamani fursa hizi tujiongozeni watanzania
 
70% ya huduma za chakula kinatoka Tanzania ni fursa adhimu kwetu kwani ni zaidi ya $200m ya chakula wananunua toka Kwetu
Kila kitu kuanzia mchele, viazi, unga, matunda na hata mbogamboga wanategemea Tz
Ila hata balozi wao anasema tatizo ni usafiri wa majini
Lakini opportunities zipo sana na wachuuzi na wapelekaji ni wauzaji wadogo sana
Sisi ndio tunaongoza kwa kuwauzia na China ya pili

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
yes na hapo ndipo panapotakiwa kama wafanyabiashara na watanzania kuangalia namna ya kutatua changamoto za usafri na kutufanya kuwa big supplier ..couse mtu mmoja huwez kukod meli .ukiwa na meli yako unauwezo wa kusuppy chakula comoro mara 2 kwa mwez lakn sasa ivi inaweza fika hata miez 2 hamna meli .mm mzigo Wang upo bandalin tang tar 5 mwez 2 mpaka Leo hamana meli ..ndo ilo sasa inapakia ni changamoto ..lakn ikatokea wafanyabjashar tunaamua kwa umoja wetu tunakodi meli ndan ya mwaka 1 tutawazid China. Dubai

Aisee hiyo ni changamoto haswa, mnajitahidi lakini tatizo ndio hilo la meli
Serikali inaweza kushawishi wawekezaji lakini kuna sehemu tunakosea kuhusu maendeleo
Sehemu zenye faida sio kwamba hawazioni hapana ni akili nzito tu
Hivi meli mpaka Comoros ni kiasi gani

mkuu unaulizia meli mpaka comoro ..gharama za kukodi au gharama za kupakia mzigo?

gharama za kukodi meli inategemea na ukubwa wa meli kuanzia meli ya tan 150 mpaka tan 1000 ila mara nying meli zinazoenda ni mdogo yan tan 400 -650 na gharama yake ni kuanzia euro 20,000 /=- euro 70,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unipm namba yako tupeane support
yes na hapo ndipo panapotakiwa kama wafanyabiashara na watanzania kuangalia namna ya kutatua changamoto za usafri na kutufanya kuwa big supplier ..couse mtu mmoja huwez kukod meli .ukiwa na meli yako unauwezo wa kusuppy chakula comoro mara 2 kwa mwez lakn sasa ivi inaweza fika hata miez 2 hamna meli .mm mzigo Wang upo bandalin tang tar 5 mwez 2 mpaka Leo hamana meli ..ndo ilo sasa inapakia ni changamoto ..lakn ikatokea wafanyabjashar tunaamua kwa umoja wetu tunakodi meli ndan ya mwaka 1 tutawazid China. Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom