thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Kuna kipindi mtu wa Azam marine aliniambia kuna meli imeshawasili na itafanya route za Comoro! ni muda toka aniambie, hii iliishia wapi? au ilikosa vibali vya kwenda huko.yes na hapo ndipo panapotakiwa kama wafanyabiashara na watanzania kuangalia namna ya kutatua changamoto za usafri na kutufanya kuwa big supplier ..couse mtu mmoja huwez kukod meli .ukiwa na meli yako unauwezo wa kusuppy chakula comoro mara 2 kwa mwez lakn sasa ivi inaweza fika hata miez 2 hamna meli .mm mzigo Wang upo bandalin tang tar 5 mwez 2 mpaka Leo hamana meli ..ndo ilo sasa inapakia ni changamoto ..lakn ikatokea wafanyabjashar tunaamua kwa umoja wetu tunakodi meli ndan ya mwaka 1 tutawazid China. Dubai
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app