Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Siwezi kuomba Tecno. Ntaomba simu nikipewa Tecno poa maana ntakua naitumia kusogeza siku tuTatizo hata tecno ukimuomba hakupii hiyo hiyo ya bei rahisi
Siwezi kuomba Tecno. Ntaomba simu nikipewa Tecno poa maana ntakua naitumia kusogeza siku tuTatizo hata tecno ukimuomba hakupii hiyo hiyo ya bei rahisi
hahahaTecno hizi hizi tunazoziona bongo au Tecno zipi?? Kama ni hizi ni mbayaaa. Kila mdada anaetumia Tecno lazima kwenye cmu ukute app ya kuedit picha



KNdio hajasema yeye alitoa nini
Wapi kasema?
Mbna na wewe unatumia tecno sisemi tutume kila mtu screen short hapa tuone unatumia simu gani?
Muoneeeee![]()



Google.Tecno boom ikoje?![]()
Camera ya Iphone nzuri ukipigia picha kwa snapchat. Mi samsung naipendaga camera yake. Ila Tecno bado sana aiseehahaha
wadada wangeipata onePlus 5 asee nafkiri wangekua wanapiga picha kila siku, ina camera bomba iPhone 8 bado sana
KaniambiaWapi kasema?
Ungemblockia mbali. Sasa kama hajakupa ndo hutakiwi kununua nyingine amaNikakomeshwa ndugu yangu sna hamuuuu na simu ya bwana nanunua yangu kwa pesa yangu anabaki tu anauliza umepata wapi helaaa ya simu?
Yan unadai mpaka mwenyewe unajishtukiaWanawake huwa tunadai kama deniiii
Kwa kweli maana hakuna namnaTupambane na hali zetuuu
Piga makofi tafadhali kama umeenda kugoogle
HujamboKwa kweli maana hakuna namna