[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli bongo bahati mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Acha chuki! Ni dola 2000+ kwa moja! Usibishe najua JF wengi mna frastiuations.mpo JF kutafuta wapi kwa kuzimaliza so f***Bei ya iPHONE 7 20 pc's unanunua nyumba China!
Labda iwe ni kibanda,tena kibanda chenyewe kiwe huko Sitimbi ya China.
Iphone 6 chamtoto,Mi juzi nmegawa iphone 7[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hawana huruma jmn au anakununulia Nokia ya tochi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha nakwambia unaishia kununuliwa tecno ya 25 tuuuu wanaume wa bongo wana dhambi sanaaa
unataka Tecno Demiss?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kwan mbali na papuchi mnazotupa (tunapeana wote tunafurahia) ni nini cha ziada unachonipa ki generate income? Tuanzie hapo.Hawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphone 7 si atahama na nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana eti anahama na nyumba mm nakumbuka niliwahi kuzima simu week nikamuomba boy wangu simu mwaka Juzi unanijibuHawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphone 7 si atahama na nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Bei ya iphone 7 sijui Demiss,kwani zinauzwa Tsh ngapi?Piga mahesabu ya iPhone 7 zikiwa 20 ni Tsh ngapi?