Khaaah. Embu fungua kama unayo uone kama inapiga picha.snapchat unapigaje picha ss....ile si ni App ya social network kama hizi zingine au inakuaje?!
Itel nzuri nachukua. [emoji23][emoji23]Utapewa itel ya batani
Shikamoo shemSimu nilikuwa nayo si nilitaka nimpige kibomu hata cha laki 5 sasa elf 80 zake nimezichokaaa nikaingizwa mkengeee shooo sna hamu
Ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani mtu anakwambia nitakupa lakini unaanza kumdai looooh
Hawaoni hayaa. [emoji23]. Mtu kapiga picha na camera nzuri bado anaedit tenaZari wa Diamond
Ukirud unakuta talaka yako kaibandika mlangoni[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nitatorokaaaa
Eeeeh. [emoji23][emoji23]Wakikupa 20 unauza tu kwa elf 20 unapata laki 4 inatoshaaaa
Ebu jaribu uone kama yatachanganyika, yatakuwa kama makaragwe yangu yaliyogoma kuwiva siku ile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiriii nichanganye tunguli
Mbaya mbaya tuuu.Ili upendeze zaidi