Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Hapo sasa. Tecno nikipewa napokea ila sichezei hela yangu kununua Tecno.Tecno ina uzuri gani wa Camera wee Demiss!!
Hapo sasa. Tecno nikipewa napokea ila sichezei hela yangu kununua Tecno.Tecno ina uzuri gani wa Camera wee Demiss!!
Utakubali kutoa ntakacho?Baby ninunulie Iphone 7 basi
zawadi ni zawadi sio lazima iwe iPhone ssUchoyooo tu mapenzi mazuri kama unatoa zawadi
[emoji16][emoji16][emoji16]kazi kweli kweliYa batani alafu yeye anatumia Samsung loooh
Naanzisha uzi sasa hivi...jiandae..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Nimeangalia avatar yako, imebidi niende bafuni kwa dharura sijui nimefuata niniKwanini huwa mnatuambia?
WADADA MNATEMBEA NA UCHUMI AMBAO NI PAPUCHI KWAHIYO MDADA KATUMIA UCHUMI WAKE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wa bongo wangekimbilia kuongeza shape, mavipodozi na nguo
nawashangaa hasa wanaosema eti camera nzuri....na camera yake ilivyo tofauti ukinionesha picha tu najua ni ya tecno hahahahaHapo sasa. Tecno nikipewa napokea ila sichezei hela yangu kununua Tecno.
SheenziUtakubali kutoa ntakacho?
Yani Tecno hata picha zake hajifichi. Sijawahi pata moyo wa kutumia camera ya Tecno. Halafu mbovu mbovu hazichelewi kujizimia zenyewe.nawashangaa hasa wanaosema eti camera nzuri....na camera yake ilivyo tofauti ukinionesha picha tu najua ni ya tecno hahahaha
Tunawaacha kama hivi tunaenda tafuta wengine watununulie [emoji23]muwaache tu wafanye kwa uwezo wao ss...china iPhone bei tofauti na bongo lkn mjue
Sasa unadhani mwenzako alipewa tu iphone7 bure bure.Sheenzi
Mimi nakununulia bila wasi wasiTunawaacha kama hivi tunaenda tafuta wengine watununulie [emoji23]