Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeeh nilikuwa nataka nimpige kibomu shida yangu dazani ya vyupi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeeh nilikuwa nataka nimpige kibomu shida yangu dazani ya vyupi
Tecno hizi hizi tunazoziona bongo au Tecno zipi?? Kama ni hizi ni mbayaaa. Kila mdada anaetumia Tecno lazima kwenye cmu ukute app ya kuedit pichaYani camera za tecno ni fire hata ya promotion iko vizuri usiniulize maswali mm naomba simu
Yupo sahihi millard.Tofautisha Bongo na China
Eeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama alikuwa amepanga chumba Temeke atahamia Kiwalani
Eeeh. Si mabeb zake walimpaSasa unadhani mwenzako alipewa tu iphone7 bure bure.
Sawa bby. Nije niichukue lini sasa?Mimi nakununulia bila wasi wasi
hapo ndio mnapokosea shauri yenu [emoji20][emoji20]Tunawaacha kama hivi tunaenda tafuta wengine watununulie [emoji23]
Ndio hajasema yeye alitoa niniEeeh. Si mabeb zake walimpa
Demi nenda China na ww ukajaribu bahati yako,bongo wanaishia kuhonga tecno tena zile featured phones[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahahaha nakwambia unaishia kununuliwa tecno ya 25 tuuuu wanaume wa bongo wana dhambi sanaaa
sijui mmSh ngapi kwani?
Techno boom.?Sawa bby. Nije niichukue lini sasa?
Nimekuchoka nimepanga nikuchambe hadi unikome[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wewe tuuuu usisahau kunitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana jr kuja huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Mbna na wewe unatumia tecno sisemi tutume kila mtu screen short hapa tuone unatumia simu gani?nawashangaa hasa wanaosema eti camera nzuri....na camera yake ilivyo tofauti ukinionesha picha tu najua ni ya tecno hahahaha