Fursa hii kwa wadada!!!!

Fursa hii kwa wadada!!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Mbali na papuchi kuna kingine cha ziada interms of kuongeza kipato?
 
Boyfriend wa 21 ataanza kuambiwa "I wish ungekua na ub.oo kama wa Hu Ah Wei, ujuzi kama wa Xi Ah Om, uwe unacare kama Tien Ki No. Uwahi kurudi nyumbani kama Jih Wei, usinipige kama Mah kon Dah, ustaarabu kama Kih Kwe Tien, na uwe una....

"STOP nimeshindwa mimi"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana eti anahama na nyumba mm nakumbuka niliwahi kuzima simu week nikamuomba boy wangu simu mwaka Juzi unanijibu


NASHUKURU SAIVI HUPATIKANI HEWANI KAMA NINA SHIDA UJE KAZINI KWANGU HAKUNA KUWA NA SIMU

sitakaaa nisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Alijifanya hataki uwe na simu kumbe hataki kukupa hela.
 
Hawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphone 7 si atahama na nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
T
Hawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphonea. 7 si atahama na nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hata iphone 10 nakupa ila ukubali kutoa mambo ya pwan i
 
Back
Top Bottom