Furahia picha zangu za leo

Furahia picha zangu za leo

indian-police-funny-picture.jpg
Where u are Madame B ukuje umsaidie Polisi maana anatengenewa kama mboga.
 
Last edited by a moderator:
Hata wewe umegundua ehhh? Hawa Wa-Polish wasiwatishe maana ni kawaida yao Wazungu, kujaza Mabusha ila Mpini wenyewe hakuna kitu. Si wewe mwenyewe unaona kitu ya Machinga aliyehamia Portugal kutokea Msumbiji, kimesimama haswa. Na kwa ushenzi wake, mashindano alishinda...

attachment.php

hapana mie napenda kama ile moja iliwekwa humu ya mnyamwezi kafungasha kwelikweli
ngoja niitafute nikiipata naiweka hapa.

00.jpeg

Mentor haya makitu ya kinyamwezi mie ndo nayapenda, hata kama kwa kuangalia au kushuka tuu roho yangu kwatuu inasuhuzika. Sio lazima ikukurukakare sanaa hapo no polepole............... kweli mzigo mzito anao mnyamwezi.

Hii ni kwa hisani ya Boflo
 
Kwani lina tatizo gani...nahisi ukiwa na mtoto wa hivyo basi atakuwa anapendwa kweli na mashosti zako!!!

mtu akiniletea hii kadi kwa kujifungua baby boi kudadadeki zake looh mtoto mdogo kumpa dudu lote hilo akuuu
 
Inapendeza kaka...nadhani huwa wanaiita "grini epo"

Mh basi ningependa na mimi iwe hivyo..how do i start kumuwambia mai waifu to be kuwa naipenda hiyo rangi...


heheheheeee we mtu wakati tuko jeshini tulifundishwa bunduki unaiweka mdodmo wake uangalie chini iwapo haitumiki hasa kwa usalama sasa yeye hapo masaburi yake yako hatarini may be anaenjoy maana hiko chuma kikinata hapo kanda ya kati kusini mmmhhh huyu ni zaidi ya bange zangui aiseee

Ona tena unavyokosea we na mabange yako bila lunch!

HUJUI KWAMBA: Mdomo wa bunduki = = Mtutu (according to sentence uliyoandika mwanzoni kuwa amekalia mdomo badala ya mtutu)

NANGA KASORO MELI...
 
.... daah..!!mkuu watu8 umeniingiza chaka this time...!!??
 
Last edited by a moderator:
Mwambie kuwa kwenye harusi yako unataka theme color iwe "Applegreen"....kama utakuwa na sample pics za maharusi waliowahi kutumia hiyo rangi basi unaweza muonesha pia...

Mathalani:
upload12-590x392.jpg


Mh basi ningependa na mimi iwe hivyo..how do i start kumuwambia mai waifu to be kuwa naipenda hiyo rangi...
 
Back
Top Bottom