Furahia picha zangu za leo

Furahia picha zangu za leo

Hahahahahahahahahahahahehehehehehehehehkwikiwkiwkiw
saudari u made my day....uuuh
 
Last edited by a moderator:
Inapendeza kaka...nadhani huwa wanaiita "grini epo"

Ivoe..wadada bana..mbona kwangu iyo ni kijani tu. Huwa wananfurahishaga sana na specifics zao za rangi...naona na wewe dokta watu8 washakuathiri...ama ni kwa sababu mwenzetu siku hizi ni gynaecologist??

itapendeza hasa ukiifanya ndo rangi ya sare siku ya harusi yako.

Kama vile ulikuwa kwenye kichwa changu! sadly wifi yako mtarajiwa aliniambiaga harusi ni ya mtoto wa kike...

huyu askari si bure atakuwa si rizki bora hata angekalia mtutu wa bubduki yeye kakalia mdomo kunakotoka risasi halafu bora hata angekalia ---- moja kaiweka katikati mmmh kanitia mashaka sana huyu...............

Kweli hizo ni bange maana bangi hazichanganyi kiivi!

Mlipoambiwa muende JKT mkakataa ona sasa unapotuandikia stimu zako hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
00.jpeg



Hii ni kwa hisani ya Boflo

Point of correction sio kwa hisani ya Boflo bali ni kwahisani ya Sikonge ila kwenye threa aliyoianzisha Boflo/
 
Last edited by a moderator:
khaa, mbona hayo madude yamepinda pinda hivyo, halafu huyo wa kwanza left inaonekana hizo ndulele zimezidi ukubwa na fimbo, kazi kweli kweli.

Si lazima yapinde tena au unadhani hapo katikati pako flat?
 
Ivoe..wadada bana..mbona kwangu iyo ni kijani tu. Huwa wananfurahishaga sana na specifics zao za rangi...naona na wewe dokta watu8 washakuathiri...ama ni kwa sababu mwenzetu siku hizi ni gynaecologist??

Hahahah...ni kuwa aware tu mkuu na yanayotukia ulimwenguni hapa...nishawahi kuwa msimamizi kwenye harusi fulani ya best yangu na hiyo ndio ilikuwa rangi ya sherehe
 
Kama vile ulikuwa kwenye kichwa changu! sadly wifi yako mtarajiwa aliniambiaga harusi ni ya mtoto wa kike...

Huyo wifi atakuwa keshakuvutisha mibange maana hadi aseme harusi ni ya mtoto wa kike atakuwa keshalipuliza, in other ways wifi yangu ni mwanaume na yeye hataki kuolewa na wewe coz ni mtoto wa kiume na si wa kike..............? Bora hata umuoe mariam hivohivo potelea mbali kuliko kumchukua huyo mtoto wa kiume mwenzio maana iko siku usiku kitandani umelala fofofo ile jinsia yake ya ukweli aliyoumbwa nayo inapata nguvu na inadinda anaweza kukugeuza na kukufanya mabaya..........(just thinking aloud), mi naona mariamu ni bora kuliko huyo..........

Kweli hizo ni bange maana bangi hazichanganyi kiivi!

Mlipoambiwa muende JKT mkakataa ona sasa unapotuandikia stimu zako hapa!!!

heheheheeee we mtu wakati tuko jeshini tulifundishwa bunduki unaiweka mdodmo wake uangalie chini iwapo haitumiki hasa kwa usalama sasa yeye hapo masaburi yake yako hatarini may be anaenjoy maana hiko chuma kikinata hapo kanda ya kati kusini mmmhhh huyu ni zaidi ya bange zangui aiseee
 
Back
Top Bottom