Furahia picha zangu za leo

Furahia picha zangu za leo

902034_233497603457176_885980717_o.jpg
 
Kweli kaka. Nimepanga leo kabla sijavuta bange zangu nianze kumtupia tupia hints!!!



Ahaha sakapal, hata nikitaka kuoa we nambie ntamuoa nani!???

Best usiniige utaharibu, yaani uvute bange ndo uanze kutupia maelezo kwa bride wako mariam kuwa rangi yenu ya harusi ndo iwe hiyo aaaah hapo utaharibu na harusi haitakuwepo kisha utakuwa umeninyima mie nafasi ya kuwa matron wa watoto wa mbele ntatokelezea wapi na kuuza sura mie, yaani nikipaka make up huwa napendeza nakuwa mzuriiii.

Umuoe Mariam bana si yule umesema mlipendana ila kaka yenu akawakatili na kumchumbia dada wa mariam? muoe Mariam ndo mambo yote, wengine viruka njia tuu, kama unataka kuoa kweli.
 
hivi jamani saudari una nia gani na mbavu zangu? haahahaha. WOderful pics, thanks for the laugh nimefurahi japokuwa nimechelewa kuziona.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom