Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,343
- 111,612
Mmh, mbona wengine zimejirundika kama mafurushi
Hogo la Jang'ombe
Mmh, mbona wengine zimejirundika kama mafurushi
sasa haya ni makubwa jamani ehee nimeshindwa hata kufurahia nabaki kushangaaa tu hapa kwani sijawahi kuona mie toka kuumbwa kwa hii dunia yetu

View attachment 97232
Kikosi cha mashambilizi
Hii rangi nimeipenda...sijui itapendeza kwa ngozi zetu za kibantu!??
Hii rangi nimeipenda...sijui itapendeza kwa ngozi zetu za kibantu!??
vidudu vifupi ila vinene vimelindwa na mayai pembeni manene yaani mie ndo nilichoona hapo
View attachment 97243
Jamani huko alipo huyu mtu hamna hata Nyani?
Maana ungekuta tunaongeleahabari nyingine.
alafu ukapenda ulichokiona au!??
View attachment 97232
Kikosi cha mashambilizi