kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
View attachment 97243
Jamani huko alipo huyu mtu hamna hata Nyani?
Maana ungekuta tunaongeleahabari nyingine.
Inapendeza kaka...nadhani huwa wanaiita "grini epo"
Bange nibangue nikikosea Mentor anikumbushe, unaona sasa utamu wa bange, mie niliandikahivo nikiwa namaanisha kitako cha bunduki hahahahaaa asante best kunistua looh bange tamu sana
View attachment 97240
Hakika Tanzania nasi twaweza.
Anafanana na yule jamaa Mwenye mwili mkubwa sijui wana mwita nani vile.....
Mmh, mbona wengine zimejirundika kama mafurushi
Ahaha hivo kumbe ndo lengo lako!?? we nanga kweli yani!!!
mie sio tuu nimesmile baada ya kugundua i was fooled, nimecheka sana daaah umeniweza kwelikweli.
Jamaa sio siri rangi ya suti na hiyo tai vimeendana
Yaani wewe mwaka huu hauishi lazima utakuwa mume ya mutu, ukiona mwana kaka yuko busy na mambo haya ujue keshabanwa mwavu zote pa kutokea hana anatekeleza tuu, hongera best mie najitolea kuwa msimamizi wa hivo vitoto vya mbele (ili niwazibe maharusi mie ndo ntakuwa naonekana kwanza na ntakavojiremba, heheheheheee bb harusi(mariam) lazima anune (just a joke) dont mind ni bange za asubuhi heheheheee)