Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,017
Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.

wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.

Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.

Nani angetarajia hali anayopitia leo Hamohrey Polepole au Bashiru Ally au hata Kheri James?

Tumeona huko Hai yaliyotokea. Sasa tunasikia Paul Makonda halali usiku wala mchana. Hana uhakika kama akila ndani kesho ataamkia wapi. Waliomtuma au kumpongeza atende aliyotenda wamemkimbia na wengine hawapo.

Jifikirie tu ikiwa Jinai haifi unadhani baada ya miaka 20-30 hao wanaokutuma na kukuvimbisha kichwa watakuwa madarakani?? Je watakubeba na kukuokoa na dhahama zitakazo kukuta?. Utakuwa mgeni wa nani?

Somo hili liwafikie tena akina Jeri muro, Murisho gambo, Katambi, Ogutu, Aron kajulumugulu n.k.

Kuna hatari huko mbele msipojirekebisha

This was a wakeup call.
 
Hawa jamaa hata hivyo bado wengi wamelelewa. Hivi chuki zile za Hery James, Bashite, Muro, Gambo etc . Eti kisa tu mmetofautiana itikadi, mawazo, Imani nk

Mungu ni mwema, ataliponya taifa letu la Tanganyika. Kutokuwa mwana CCM siyo dhambi ya kuhukumiwa . Uvccm acheni umungumutu .
 
Hawa jamaa hata hivyo bado wengi wamelelewa. Hivi chuki zile za Hery James, Bashite, Muro, Gambo etc . Eti kisa tu mmetofautiana itikadi , mawazo , Imani nk

Mungu ni mwema, ataliponya taifa letu la Tanganyika . Kutokuwa mwana Ccm siyo dhambi ya kuhukumiwa . Uvccm acheni umungumutu .
Mungu yupo na watanzania. Watanzania wanapenda amani. Mungu anawasikiliza maombi
 
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
 
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
 
Hawa jamaa hata hivyo bado wengi wamelelewa. Hivi chuki zile za Hery James, Bashite, Muro, Gambo etc . Eti kisa tu mmetofautiana itikadi , mawazo , Imani nk

Mungu ni mwema, ataliponya taifa letu la Tanganyika . Kutokuwa mwana Ccm siyo dhambi ya kuhukumiwa . Uvccm acheni umungumutu .
Wasaidiwe waongozwe kwenya sala ya toba, kila mmoja wao atubu. Amen
 
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
hehehehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom