Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,048
2,000
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
hehehehe
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,048
2,000
Hawa jamaa hata hivyo bado wengi wamelelewa. Hivi chuki zile za Hery James, Bashite, Muro, Gambo etc . Eti kisa tu mmetofautiana itikadi , mawazo , Imani nk

Mungu ni mwema, ataliponya taifa letu la Tanganyika . Kutokuwa mwana Ccm siyo dhambi ya kuhukumiwa . Uvccm acheni umungumutu .
🤣🤣🤣🤣
 

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
17,015
2,000
Leo hii Le Mutuzii Mobimba kapata wapi ujasiri wa kukemea matendo maovu ya Viongozi Vijana wa CCM,si ndio yeye alikuwa bega kwa bega na Muro kipindi kile akifanya uonevu alipokuwa DC Arumeru?
IMG-20211017-WA0247.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,782
2,000
Bila kumsahau Kihongosi alipewa u DC baada ya kutishia kumuua zito, chalamila ni lini atasajili magufuli party yake,kessy pinda na nkamia atuwasikii aongezewe mda
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
15,088
2,000
Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.

wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.

Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa ccm unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.

Nani angetarajia hali anayopitia leo Hamohrey Polepole au Bashiru Ally au hata Kheri James??

Tumeona huko Hai yaliyotokea. Sasa tunasikia Paul Makonda halali usiku wala mchana. Hana uhakika kama akila ndani kesho ataamkia wapi. Waliomtuma au kumpongeza atende aliyotenda wamemkimbia na wengine hawapo.

Jifikirie tu ikiwa Jinai haifi unadhani baada ya miaka 20-30 hao wanaokutuma na kukuvimbisha kichwa watakuwa madarakani?? Je watakubeba na kukuokoa na dhahama zitakazo kukuta?. Utakuwa mgeni wa nani??

Somo hili liwafikie tena akina Jeri muro, Murisho gambo, Katambi, Ogutu, Aron kajulumugulu n.k.

Kuna hatari huko mbele msipojirekebisha

This was a wakeup call.

Huyu bwana:

IMG_20210829_163746_049.jpgakikusikia masikio makavu usiache kutuletea mrejesho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom