FUNZO: Hata Magesa Mulongo alipata kuwa Mkuu wa Mkoa

FUNZO: Hata Magesa Mulongo alipata kuwa Mkuu wa Mkoa

Maisha sio kuumiza wenzio kwa nafasi uliyonayo,malipo nihapahapao duniani
 
Binafsi namshukuru Mhe. Rais kuuona mapungufu yake na hivyo kumtumbua. Hakuwa RC mwadilifu.
 
Huyu bwana ni alizungusha f4 kule MUSOMA sec 1989. Hovyo kabisa. Alianza kuuza na kulambwa mkunduni maeneo ya fukwe za Dar wakati akiwa kibarua wa TTCL. Ndipo alipo kutana na Liz, K. akawa anamsafishia na kumvalisha viatu Liz kama rafiki yake, ndipo alipo mambolisha kwa baba yake na kumpa UDC BUKOMBE. Ndipo mambo yalipo anzia
Jamaa kasema kweli kabisa
 
Wakuu,amani iwe nanyi.Poleni na majukumu.

Ghafla tu nimejiuliza hapa, Magesa Mulongo yuko wapi jamani? Alisumbua sana Arusha na Mwanza.Alisumbua mno bodaboda wetu na mama ntilie pia. Mh Mbunge wa Arusha Mjini, alisumbua sana na bwana yule. Kuna kipindi akiwa Mwanza, Magesa alianza kutembea na ulinzi mkali mithiri ya Rais. Sasa hivi kimya kabisa.

Yu wapi Magesa Mulongo na anajishughulisha na nini?

Sijui alijua kwamba atakuja kwenye ground level.
Aliye juu mngoje chini babaaa
 
Anasoma chuo kimoja hapa mjini, anaingia darasani kwa kijifjchaficha, nasikia moja ya wakufunzi wake waliwahi badilishana maneno makali pale rock city kwa kumwaga nyanya na mbogamboga za mamake aliyekuwa anadunduliza ili mwanae apige mastazi
 
Mkuu wa Mkoa ameitwa halafu anatembea kama anakwenda kwenye SEND OFF! By Lema mbunge wa Arusha!
 
Hivi Huyu Jamaa Kosa Lake Lilikuwa Ni Nini.?

Ukitaka kujua kosa lake tafuta uhusiano wake na Msoga. Toka akiwa DC Bagamoyo.

Yeye na Madeni Kipande(TPA) Waliisoma namba mwanzoni kabisa zikiwa mbichi. Sie ndo tunasoma saizi zimefika za kirumi
 
mara ya mwisho nilimuona mtu kama yeye kwenye tv mkutano mkuu wa ccm Dodoma. Nikawaza labda kwasababu alitenguliwa bado anasubiri kupangiwa kazi nyingine kwahiyo anahesabika bado ni kada wa ccm.
 
Wakiwaga kwenye madaraka huwa wanajisahau,,wanajiona miungu watu,,,huyu kama nakumbuka alisababisha Kiongozi gani sijui wa chini yake alifukuzwa kazi Mwanza huko sababu ya majungu yake,, anaitwa Feisal nakumbuka
Katibu Tawala Mwanza. Tena Dr kwasababu ya kumpa ukweli. Aache kuishi Malaika Hotel
 
Wakuu,amani iwe nanyi.Poleni na majukumu.

Ghafla tu nimejiuliza hapa, Magesa Mulongo yuko wapi jamani? Alisumbua sana Arusha na Mwanza.Alisumbua mno bodaboda wetu na mama ntilie pia. Mh Mbunge wa Arusha Mjini, alisumbua sana na bwana yule. Kuna kipindi akiwa Mwanza, Magesa alianza kutembea na ulinzi mkali mithiri ya Rais. Sasa hivi kimya kabisa.

Yu wapi Magesa Mulongo na anajishughulisha na nini?

Sijui alijua kwamba atakuja kwenye ground level.



Fuatilia vizuri alipo,kama hajapatikana kuna uwezekano "atakuwa ameagizwa mokwali" kwa mapumziko.
 
Back
Top Bottom