cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,004
- 79,216
CCM bana...wanafiki sana
Uliniweka huko CCM lini?
CCM bana...wanafiki sana
Ndio unafiki tunaouita huu...kwamba leo unaikana ccm?Uliniweka huko CCM lini?
Ndio unafiki tunaouita huu...kwamba leo unaikana ccm?
Hapana mkuu yupo yupo tu. Anatia huruma hatari. Huwezi kuamini Magesa Mulongo anagongea karanga na ubuyu wa kufunga.Hivi huyu mkuu wa mkoa alipangiwa majukumu mengine au?
C:c bashiteJamaa alikuwa na SIFA zote mbwembwe majivuno dharau hakujali maonevu au mambo mengi fanani na hayo!
Leo yu wapi mtu huyo aliyepata kujiona ni mungu mtu katikati ya binadamu wenziye. Leo yu wapi kiranja huyo aliyetisha kuliko! Leo yu wapi mfanya mbwembwe huyo aliyejifanya ni rais mdogo na aliyethubutu hata kujiwekea ulinzi fanani na wa mafia Fulani?! Leo yu wapi mtu huyo aliyetishia watu kwa kuwasweka lock-up kwa mamlaka alopata kuwa nayo?!
Hakika pitia mtu huyo hapa lipo funzo. Funzo hasa kwa hawa wakuu wa mikoa wanaotaka hata kuzizidi mbwembwe za kiranja na mfanya mbwembwe yule!
Tambueni cheo au madaraka ni dhamana.Hayupo na haitatokea eti kwa dunia ya leo utawala utadumu milele.
Hebu sote tujiulize, wakati huu bwana MAGESA yupo ktk hali ipi hasa akumbukapo isha lake wakati akiwa kiongozi?!AIBU!
We mwenyezi MUNGU tusamehe sana!
Naona umeanzisha thread ya magesa mulongo ukiwa chini ya muti nsalalaJamaa alikuwa na SIFA zote mbwembwe majivuno dharau hakujali maonevu au mambo mengi fanani na hayo!
Leo yu wapi mtu huyo aliyepata kujiona ni mungu mtu katikati ya binadamu wenziye. Leo yu wapi kiranja huyo aliyetisha kuliko! Leo yu wapi mfanya mbwembwe huyo aliyejifanya ni rais mdogo na aliyethubutu hata kujiwekea ulinzi fanani na wa mafia Fulani?! Leo yu wapi mtu huyo aliyetishia watu kwa kuwasweka lock-up kwa mamlaka alopata kuwa nayo?!
Hakika pitia mtu huyo hapa lipo funzo. Funzo hasa kwa hawa wakuu wa mikoa wanaotaka hata kuzizidi mbwembwe za kiranja na mfanya mbwembwe yule!
Tambueni cheo au madaraka ni dhamana.Hayupo na haitatokea eti kwa dunia ya leo utawala utadumu milele.
Hebu sote tujiulize, wakati huu bwana MAGESA yupo ktk hali ipi hasa akumbukapo isha lake wakati akiwa kiongozi?!AIBU!
We mwenyezi MUNGU tusamehe sana!
Jamaa alikuwa na SIFA zote mbwembwe majivuno dharau hakujali maonevu au mambo mengi fanani na hayo!