FUNZO: Hata Magesa Mulongo alipata kuwa Mkuu wa Mkoa

Viongozi wanakuwa wazuri kama wanaandaliwa na kupewa kiongozi ya mara kwa mara wawapo madarakani,na kuweka mkakati wa kuhakikisha miongozo hiyo inafuatwa
 
Yupo Mwanza akiranda randa, amechoka na kupauka kidogo, mara nyingi utamkuta kwenye bar fulani fulani akiwa mnyonge huku akipiga story nyepesi nyepesi za hapa na pale na wale maafisa afisa wa Serikali kwenye zile dili zao zileee......

Nasikia amejipanga kujaribu bahati yake ya ubunge ndani ya CCM kwenye majimbo ya Ilemela au Nyamagana, japokuwa watu wa karibu wanadai mwelekeo ni Musoma mjini kutaka kumtoa Vedasto.
 
Wakuu,amani iwe nanyi.Poleni na majukumu.

Ghafla tu nimejiuliza hapa, Magesa Mulongo yuko wapi jamani? Alisumbua sana Arusha na Mwanza.Alisumbua mno bodaboda wetu na mama ntilie pia. Mh Mbunge wa Arusha Mjini, alisumbua sana na bwana yule. Kuna kipindi akiwa Mwanza, Magesa alianza kutembea na ulinzi mkali mithiri ya Rais. Sasa hivi kimya kabisa.

Yu wapi Magesa Mulongo na anajishughulisha na nini?

Sijui alijua kwamba atakuja kwenye ground level.
Alitetemesha sana huyu jamaa.
Alifoka na kubweka, lakini wahenga walisema cheo ni dhamana.
 
Huyu bwana ni alizungusha f4 kule MUSOMA sec 1989. Hovyo kabisa. Alianza kuuza na kulambwa mkunduni maeneo ya fukwe za Dar wakati akiwa kibarua wa TTCL. Ndipo alipo kutana na Liz, K. akawa anamsafishia na kumvalisha viatu Liz kama rafiki yake, ndipo alipo mambolisha kwa baba yake na kumpa UDC BUKOMBE. Ndipo mambo yalipo anzia
 
uzushi kuwa alizungusha, nimesoma nae milambo sec tabora akichukua egm miaka ya 90s sasa kama form 4 alizungusha aliwezaje kwenda milambo na akachukua egm, form 6 alipata div 2
 
Unamtetea. Stanislaus Mzee wa kumeza furu, anapokula huwa hatafuni. Vipi Hoja ya kulambwa na Liz. Unaikubali? Huyo bashite wa mwiruruma kibara.
 
Wakuu,amani iwe nanyi.Poleni na majukumu.

Ghafla tu nimejiuliza hapa, Magesa Mulongo yuko wapi jamani? Alisumbua sana Arusha na Mwanza.Alisumbua mno bodaboda wetu na mama ntilie pia. Mh Mbunge wa Arusha Mjini, alisumbua sana na bwana yule. Kuna kipindi akiwa Mwanza, Magesa alianza kutembea na ulinzi mkali mithiri ya Rais. Sasa hivi kimya kabisa.

Yu wapi Magesa Mulongo na anajishughulisha na nini?

Sijui alijua kwamba atakuja kwenye ground level.
Labda sasa keshakua mganga wa kienyeji maana huyo kada haiitaji eksipiriensi
 
Sijajua yuko wapi maana hii nchi ukishaanguka kisiasa basi habari zako pia zimeisha.
 
Back
Top Bottom